hahahaaa. Safi sana kiongozi. Uko kama mimi. Yaani hata baadhi ya marafiki zangu wa karibu hawafahamu tabia yangu, huwa nabadilika kulingana ma mazingira -niko wapi, nipo mahali hapo kwa dhumuni gani, nani yuko karibu na mimi, ni mda gani, ... Yani full kuwachanganya watu. Kuna wengine wanajua sipigagi story na mtu, kuna wengine wanadhani sitimii kilevi cha aina yeyote, kuna wengine wanajua mimi ni bonge la mlokole, kuna wengine wanahani mimi ni chapombe wa kufa mtu, kuna wengine wanasema mimi ni napenda sana malaya, wengine wananionma mimi bonge la mshamba etc. lakini yote hayo ni uongo... najijua mimi mwenyewe. sijui humu JF naonekanaje