Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

Labda awe anaongelea wanaume wasiojitambua( Marioo) pekee maana hao hata huko Tz wapo wengi Sana.
 
Sikusikia kuwa mkilewa mnanyonya maziwa ya wake/wapezi wenu? Lakini ni kweli huko Kenya kuna mijike mibabe kweli!
 
Hakuna mwanaume wa Kenya anayeweza kupigwa na mkewe.Hizo taarifa mlizopewa Ni za uongo tu.
Hapo umesema uongo. Labda useme wanaume wachache saana wanapigwa na wake zao. Dunia nzima na katika kila culture lazima upate wanawake wanaopiga waume zao. Hata kule kwa akina Mura kuna mijike inawatwanga waume zao.
 
Hakuna mwanaume wa Kenya anayeweza kupigwa na mkewe.Hizo taarifa mlizopewa Ni za uongo tu.
Umesahau raisi wenu Mwai Kibaki (R.I.P.) alikuwa anatwangwa na mke wake? Hiyp ilikuwa siyo siri.
 
Naunga mkono utafiti,
Sema watanzania umetusahau[emoji4]
 
Kwa wasegali ni kweli kabisa. Kamwe hawatelekezi familia zao. Warundi nao ni makatili sana tena hasa wahutu. Ila dawa yao nawe mke kuwa ngangali tu.
Warundi na warwanda wote wakatili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…