Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
DiuuuuuhAnother one
Alafu anapigwa amekaa tu au wanaigiza hawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DiuuuuuhAnother one
Haijalidhi naishi sehemu gani Kenya bt as long as I'm a Kenyan I will not allow you to discredit our dignity in the name of jamiiforums.Huko kenya unaishi kijiji gani isije uko kihagalile ndani ndani huko ukajiita na we mkenya wakati hatukutambui
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao bhana,naona unaumiza kichwa bure
Sikusikia kuwa mkilewa mnanyonya maziwa ya wake/wapezi wenu? Lakini ni kweli huko Kenya kuna mijike mibabe kweli!Hapo kwa Kenya umezingua sana mkuu, unawezaje kutuvunjia heshima namna hii.
Hii habari yako Haina mashiko hata kdgo mkuu, kama Kuna nchi Duniani yenye wanaume wababe basi ni nchi yangu Kenya. Huku sisi huwa hatuendekezi ujinga wa wanawake.
Please withdraw Kenya from your thread.
Hapo umesema uongo. Labda useme wanaume wachache saana wanapigwa na wake zao. Dunia nzima na katika kila culture lazima upate wanawake wanaopiga waume zao. Hata kule kwa akina Mura kuna mijike inawatwanga waume zao.Hakuna mwanaume wa Kenya anayeweza kupigwa na mkewe.Hizo taarifa mlizopewa Ni za uongo tu.
Umesahau raisi wenu Mwai Kibaki (R.I.P.) alikuwa anatwangwa na mke wake? Hiyp ilikuwa siyo siri.Hakuna mwanaume wa Kenya anayeweza kupigwa na mkewe.Hizo taarifa mlizopewa Ni za uongo tu.
Wanajifichia wapi ambako wewe umepagundua?Wengi kabisa, tatizo mnajificha.
Kule ambako wewe pia umejificha.Wanajifichia wapi ambako wewe umepagundua?
Haha hahah hahah nisingekuwepo hapa jukwaaniKule ambako wewe pia umejificha.
Hapa kuna uwezekano mkubwa yupo hapo anakusimamia.Haha hahah hahah nisingekuwepo hapa jukwaani
😂😂 mtu anadundwa hapoDiuuuuuh
Alafu anapigwa amekaa tu au wanaigiza hawa?
Warundi na warwanda wote wakatili sanaKwa wasegali ni kweli kabisa. Kamwe hawatelekezi familia zao. Warundi nao ni makatili sana tena hasa wahutu. Ila dawa yao nawe mke kuwa ngangali tu.