Gheto sinaga chopping board, ila natumiaga kibao cha kusukumia chapati [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Vitunguu lazima nikate in round shape. Hoho lazima nikate vyembamba sana alafu ndogo ndogo.
Ila Quetzal baby, hivyo vitunguu vyako mbona umevikata kitemi sana? [emoji848]
Mkuuu....hapo nimeweka vitunguu na nyanya...ushaconclude sijui kupika...Sawa kama ni hivyo ,ukipata mda ni PM nikufundishe kupika uwe MBOBEZI...Pia pendelea kuangalia vipindi vya Mapishi vya ITV au Azam utapata madini na kujua jinsi kupika msosi mzuri.
Naomba nitoe hiyo picha...Ratio ya nyanya na vingine haiendani kabisa
Hapo naona
Kitunguu robo
Hoho robo
Karoti sjui ni chini ya robo
Ukataji wa hovyo. Kama ni mwanamke hapo una F ya mapishi.
Wali wa kushiba uonaonekana kwenye sahani....Maandalizi tu yanaonyesha Output itakuwaje.Mkuuu....hapo nimeweka vitunguu na nyanya...ushaconclude sijui kupika...
Toa tu inakuaibishaNaomba nitoe hiyo picha...
Nadhani ningetumia ya Google ingekuwa vizuri zaidi
Ukitaka kuwa wa mfano mzuri fanya kitu kwa viwango/standards zinazotakiwa.Sijui wale content creater huwa wanafanyaje na comment negative ...ptuuu..
Anyway. Nia ilikua kuonesha chopping board yangu...alafu nimesema Ni ya Miaka.zaidi ya.kumi hivyo imechoka..pia ..camera yangu haina viwango...tatu ilikua Ni usiku hence Giza giza
YAAAANI....NAJUTA kuweka hiyo picha ....Ndo.maana Watu huwa na mataaa kabisa wanapiga picha ili zitokee quality...Ni simu yake haitoi picha nzuri [emoji3]
Hapahapa aisee hiyo mboga ugali debe namaliza nyama nyie kuleni tuWale wa NGUNIANI tuna comment wapi?
Sasa...Hapa NATAKA kuwa mfano kwa Nani?....Ukitaka kuwa wa mfano mzuri fanya kitu kwa viwango/standards zinazotakiwa.
Umepost ili iweje?Sasa...Hapa NATAKA kuwa mfano kwa Nani?....
Unaongeza na pureeHayo maandalizi tu inaonekana kupika haujui kabisa....Nyanya tatu halafu mbichi kweli mchuzi utatoka na rosti? Hakuna hata kiazi mbatata cha kuongeza rojo.
[emoji3][emoji3] poleee, this is jfYAAAANI....NAJUTA kuweka hiyo picha ....Ndo.maana Watu huwa na mataaa kabisa wanapiga picha ili zitokee quality...
Maana nshaitwa mchafu sijui hata uchafu Hapo.upo wapi...napika kila siku hakuna hata Alie Wai harisha[emoji25]
Nimesikitika sana kusikia hiyo chopping board umeitumia zaidi ya miaka 10, kumaanisha kuwa una uzoefu wa mapishi zaidi ya hiyo miaka. Vitunguu umekata kama dogo wa kiume ambaye nimeanza kumfundisha kukata vitunguu juzi.Habari menu,
Mimi nimezoea Sana Kutumia chopping board jikoni kiasi kwamba nikitumia mikono najikata Sana na kisu vidole.
Lazima nitumie chopping board kukata nyama, mboga zamajiani...vitunguu yaani almost kila kitu.
Chopping board yangu ni kuuu kuu Sana na more than ten years
Anyone else uses a chopping board like me, just wondering
Tecno yangu haitoi quality picha
View attachment 1717679
Basi...ntajifunza kukata kitunguu vizuriNimesikitika sana kusikia hiyo chopping board umeitumia zaidi ya miaka 10, kumaanisha kuwa una uzoefu wa mapishi zaidi ya hiyo miaka. Vitunguu umekata kama dogo wa kiume ambaye nimeanza kumfundisha kukata vitunguu juzi.