Je, unatumia Chopping Board kwa kukatia vitunguu na nyanya?

Hawa watu wenyewe wamezoea kula korodani za wanyama ,unapowaambia habari za nyama sijui hata kama wanakuelewa
Eeeeh...... Korodani zinaliwa?

Ntakuja kata zawako nichemshe huenda zinaladha sawa sawa..na mayai ya Ostrich
 
Hebu ntumie.picha ya jiko lako ?... Tena wakati wa kupika.... Sio mshamaliza nakuosha vyombo na kusafisha meza
Oh nisamehe bure! Kumbe wewe ni Ke. Nilikuwa nasoma uzi mmoja ukasema kuwa wewe ni ke. Chonde chonde nisamehe. Huwa sipendi kuwasema ke maana ndiyo wanafanya dunia hii iwe tamu
 
Eeeeh...... Korodani zinaliwa?

Ntakuja kata zawako nichemshe huenda zinaladha sawa sawa..na mayai ya Ostrich
Ruksa mkuu.Nikutaadharishe tu kabla ya kuzila uziloweke kwenye maji siku 3 ili ule utelezi iishe.Maana ukizikaanga tu hivihivi bila kuziloweka ule utelezi sio mzuri unaleta watoto duniani
 

Ghetto una kibao cha chapati[emoji848]utaoa kweli jamani
 
Ruksa mkuu.Nikutaadharishe tu kabla ya kuzila uziloweke kwenye maji siku 3 ili ule utelezi iishe.Maana ukizikaanga tu hivihivi bila kuziloweka ule utelezi sio mzuri unaleta watoto duniani
[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
na ndio inatakiwa ukate kwa chopping board.ile kushika wanawake wenyewe wamezoea kiswahil anasishika.na wala sio kukuu as long ni ya mbao au zile za mwanzi hazina shida.shida chopping ingekau ya plastik hapo sawa.hata mm natumia kukatia kila kitu
 
Mkuu nilishaingia hasara ya hiyo makitu.situmii hizo nimetengeneza yangu ya CHUMA
 
Hii natumia kukatia nyama tu vingine vyote natumia mikono
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....Bora negative comment za mapenzi...kuliko hii chopping board...nilikua naipenda Sana....[emoji25][emoji25][emoji25]
Dah pole Jf ndo ilivyo , ukiweka thread yahitaji moyo wa chuma
 
Labda hukuiweza ile mbinu uliofundishwa na mama, swala utakata utakavyo na msosi utakuwa mtamu, usijali..

Mimi nyumbani nimekuwa tunatumia kibao
Kila kitu kwenye kibao

Nilipoanza maisha ya single room wallah niliteseka ila Kwa Sasa nimezoea na nilishasahau huyu ndo ananikumbusha habari za board
 
Tupo sawa me nikiwa maskani ..huwa napenda kujipikia mwenyewe Kama wife hayupo ....Wala binti wa kazi ..me na Jembe langu hao jikoni ..kibao Cha chapati Kiko wapi Ni mwendo wa kukata Tuu.

Anyway mtoa mada kanikumbusha wacha ninunue leo.

Kumbe kibao cha chapati kinafaa
Nitakitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…