Hakika. Moto ukiwa mkali huwa kinababuka chakula.Ni kwel kabsa,unapunguza moto ukiweka mchele.... Moto mkali unababua chakula kinaungua af kinakua hakiivi vzur
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Mkuu, naona unakazia 2020 ina miezi 12 ujue
Duuh!! Ila naona kama unataka mahesabu sana wali wa nazi kupika kwenye rice cooker.Yeah nliona wifi yangu anapikia aliweka tui lile la 2 na kila kitu then wali ulitoka mzuri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sijawahi kupika chakula nikaweka hizo njegere ujue mi huwa napika kawaida tu.
Ila nitajaribu na mie kuweka siku moja.
Hahaha kwakua nisiku ya mapumziko nitakula nishibe.. Nichape usingiziOhoo bas,ila angalie tu usivimbiwe kwa utamu huo. Ukipika vzuri msosi utatoka super
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh. Itabidi nisearch huko namna ya kuziweka hizo njegere.Em jaribu wali wa njegere,ila kama unahofu cheki kwanza youtube upate ujuzi vzuri.
Kuna group nmejiunga la mapishi fb ndo hua napata idea za mapishi. Vitu vingi najifunzia kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana tunaambiwaga hatujui kupikaDuuh!! Ila naona kama unataka mahesabu sana wali wa nazi kupika kwenye rice cooker.
Eeh labda usitumie tui la 1 maana hilo ndo linakuaga na masharti balaa. Ukitumia la 2 simpo tu wala halina shida wali unatoka vzuri hyo siku nlishuhudia maana nlikua jikonDuuh!! Ila naona kama unataka mahesabu sana wali wa nazi kupika kwenye rice cooker.
Ooh. Itabidi nisearch huko namna ya kuziweka hizo njegere.
Hahahaa mnajtahid baadhiShushen mbinu ...shushen maufundi ..Maana tunaambiwaga hatujui kupika
Hapo sawa. πEeh labda usitumie tui la 1 maana hilo ndo linakuaga na masharti balaa. Ukitumia la 2 simpo tu wala halina shida wali unatoka vzuri hyo siku nlishuhudia maana nlikua jikon
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la muhimu mbona....ukigugo unapata material zaid jins ya kumodify msosi usiboe,sio kila siku unapika mapishi ya aina mojaAahh kumbe mna gugo ?
Kwa baadhi ya mapishi nasikia yapo huko.Aahh kumbe mna gugo ?
Hapo la kwanza unapikia mboga,la 2 ndo linaingia kwa rice cookerHapo sawa. [emoji120]
Mana wali wa kawaida si lazima kuweka lile tui zito baada ya lile la kwanza kukauka sasa nikawa najionea Mtihani tu huko kwenye rice cooker.
Viungo vyaoo.....me nikionaga sielewi naachana navyo natafuta vyakula vya kiswahili youtube ambavyo navielewaKwa baadhi ya mapishi nasikia yapo huko.
Nimeelekezwa kwenda kuangalia ubwabwa wa nazi ambao unawekwa njegere ndio sababu akaniambia niende google.
Sema mi naonaga huko google wanapika sana kizungu wakati mi mswahili. [emoji23][emoji23]
Hapo sawa.Viungo vyaoo.....me nikionaga sielewi naachana navyo natafuta vyakula vya kiswahili youtube ambavyo navielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa katika vitu siwezagi ni vitafunwa yaan ngano sjui imenipitia kushoto mwee!!Hapo sawa.
Vp hupikagi vitafunwa vya nazi ukatuelewesha hapa? [emoji85]