Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #201
Nimekamatwa uongo π π π π πVipi kuhusu story yako ya kijana aliyekudinya kisawasawa, mliyekutana nae kwenye kikao kazi baada ya kuajiriwa, miaka 25 iliyopita?π€£
Lugha fasah kabisa imeelewekaπNi hivyo, excuse the language, nina changamoto ya kutumia tafsida ππ
Umefaidika nini mkuuπ€£Hesabu ya mwaka 2019 ilikuwa ni wanawake 350 hapo ni hesabu za tangu nianze mapenz Kwa mara ya kwnz kwa house girl wetu nikiwa Primary school..
Sijafanya hesabu nyingine tangu mwaka 2019..
Hapana mimi sijui, hayo siyo mambo yangu kabisa.Nisadie kama Kuna dalali yoyote mashghuli mjini, niuze dhahabu zangu huku nije kuhonga
Mimba yake imekupenda tena π mwanangu unapita sehemu nyingi. Ila chukua uzoefu tu hakuna baya kabisa!Kwa sasa acha nizichakate...
Kuna huyu mjamzito anasema mimba yake imenipenda...
Nazani sio mda taichapa... Yaani haina kupoa..
.hata kama sitopata tuzo ilaaa nimezinyoosha kwanza dhambi ni kuua tuu na kumwabudu shetani.. hizi zingine ni story waache tujilie...
Sema we mama ni moto wa kuotea mbali aiseeee an mpaka kuna wababa wengine humu wanatamani wakumiliki ila mi sitaki baba wengi
π π π
π π usijali ....we all lie or cheat at some point
Mshenzi mmoja nimesema safari hii tapigana nae we subri tuu...Mimba yake imekupenda tena π ila mwanangu unapita sehemu nyingi. Ila chukua uzoefu tu hakuna baya kabisa!
Idadi umefikisha wangapi mpaka sasa?
Wapo wengi tu, kila nikiweka uzi wanaiomba π€ wengine nakuona unajibizana nao huko kwenye replies π
Wapenzi wa kudumu wa mwezi π π π π πMshenzi mmoja nimesema safari hii tapigana nae we subri tuu...
Mama mi mpaka sasa sina idadi kamili ila.wale ambao ni wapenzi wa kudumu nao miezi au mwezi ni kama 27 hvi ila wale wa kuchapa chapa tuu kishikaji daah ni wengi mama angu
Sijawahi toboa na mtu miezi miwili mama angu...Wapenzi wa kudumu wa mwezi π π π π π
Khee hii nayo mpya!
Na bikra ananitoaHapana mimi sijui, hayo siyo mambo yangu kabisa.
Ila uuze dhahabu uje uhonge mcheza dansi, kweli umekamatika π
Ile phoenix niliyokununulia...Sasa hii bikra imetoka wapi!!
Attachment issues, kula maisha ila baadaye we have to work on that.Sijawahi toboa na mtu miezi miwili mama angu...
Mi ni mwezi au miezi miwili.. mwanao nina tabia ya kukinai ndo mana mi kuoa ni impossible
Naniii kichwa hakijawa butu kweli π€Ngoja niingie kwenye black book yangu nishushe majina nanranginga chupi waliokiwa wamevaaa.
1) madikulo...chupi ya chui chui
2)lerato ....huyu chupi white
3)veronica....chipi rangi ya cream
4) carol... Sikumbuki tulikulana club
5) sweetie...chipi ya pink
6) aisha huyo alikuja bila chupi
7) ntobiseng ....chupi ya kamba ata rangi sijui unaonaje
8) koku....totoz ya kihaya chupi nyeusi
9) patricia chupi nyekundu
10) veronica ...huyu no chupi alikuja nandera
Unanpandishia kibesi !?Mshenzi mmoja nimesema safari hii tapigana nae we subri tuu...
Mama mi mpaka sasa sina idadi kamili ila.wale ambao ni wapenzi wa kudumu nao miezi au mwezi ni kama 27 hvi ila wale wa kuchapa chapa tuu kishikaji daah ni wengi mama angu
Mmeanza tena π π π πUnanpandishia kibesi !?
150 duuuh, kuna watu vitendea kazi vyenu vimetembea maili nyingi.
Inaonekana wenye majina ya G ndiyo type yako, japo that math ain't mathing ππππWawili wanaitwa glory, mmoja anaitwa Graca, na mwingine ni Kelia
Kwahiyo ukifanya math hapo ni kama watu kumi na nne hivi π