Je unawakumbuka kwa majina watu wote uliokutana nao kimwili?

Inaonekana wenye majina ya G ndiyo type yako, japo that math ain't mathing πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilisoma uraia na fasihi, kwahiyo masuala ya hesabu nzito kama hizi siwezi, kuhusu G ,sijui Kwanini ndo nakutana nao maybe as you said ndo taipu yangu 😌
 
Mimi wapo 500+ Sasa nitawakumbukaje?
 
Utasema yote leo, na bado πŸ˜‚
Ila ukiendelea kuandika maneno makali hivi utafungiwa, ma-mod hawana utani siku hizi.
Ulinijambiaga usoni nikiwa nakupigia deki kwanini ulifanya vile dearX?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…