Je, unaweza kuendelea kuishi na mwanamke wa namna hii ?

Chukua mizizi yake Chemsha, weka kwenye chupa ya maji ya lita 1.5 kunywa maliza kwa siku. Usihau kunywa maji mengine mengi sana, unanyoosha misuli na unsafisha kibofu.. tumia Siku 10 alafu nipe mrejesho
Ai waanda. Dawa za mitishamba hazina kipimo? Misuli Gani ya kunyoosha🤣🤣?kwenye Kibofu Sah'wa. Huu uganga umeutoa wapi
 
Mweee.
Lakini nawewe kwanini ulimuuliza!! Kama ulikuwa umegundua hivyo kimya kimya ungejielimisha zaidi kujua aina bora za sex halafu kimya kimya unazitumia naye utamuona tu kuwa sasa ana enjoy.
Kiukweli nayeye alivyokujibu ukweli mno dhahir shahir sielewi sentensi hiyo itatokaje kichwani mwako.
Nakushauri onana na wataalamu wa counselling watakusaidia jinsi ya kupona hizo fikra.
 
Kidini, kiserikali na kidemokrasia.... Hapo Hauna quality ya kuishi na huyo mwanamke. Hiyo ni Moja ya sababu kubwa inayopelekea ndoa kuvunjwa either na mahakama au kanisa. Pole sana amekueleza ukweli.
 
Hayo yalianza ulipomuoa ama ama baada ya kujifungua mtoto ndo yakaanza?
Je kwenye uchumba ilikuaje
 
Mnaambiwa kila siku humu kwamba muwe mnahudhuria vikao vya wanaume na pia muwe mnaandika notes ili muwe mnajisomea nyumbani hii itasaidia kupunguza ubwege kama huu!
Yaani kwa mwanaume kamili mpaka hapo unasubiri ushauri?
Labda nikusaidie tu iko hivi mkeo anapigwa dudu na jamaa lenye mboo kubwa kuzidi wewe na linamkojolesha yawezekana wewe humkojozi so hawa viumbe wakipata wanaume wa kuwakuna kisawasawa huwa na dharau sana tena hapo bado Subiri utaona atakachokufanyia mbeleni
 
Sex ni kitu sensitive sana, bora akudharau kote ila sio kwenye mapenzi

Hapo utatombewa braza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…