Je, unaweza kuendelea kuishi na mwanamke wa namna hii ?

Tafuta mwanasaikolojia
 
Kaka yetu aishi nayo huu uzii wako
 
Tatizo lake ili sio kwamba limeanza kaada ya kujifungua apana hata kabla ya kujifunguwa alikuwa ivi ivi tu
Lakini amekwambia hayo baada ya kumpanda akiwa ana miezi miwili 2 tangu ajifungue, mpe muda, uzazi una mawenge sana, mwilli bado haujarecover, njia imetanuka bado haijarudi vizuri, pengine alikwambia hivyo ili kukurudisha nyuma usimsumbue na sex bila yeye kujua imekuathiri kiakili, kua mtulivu, maisha ya ndoa sio tendo tu kuna mambo mengi, muangalie huyo malaika mzuri mliyemleta duniani anawahitaji nyote wawili, usivuruge ndoa yako kwa kitu kidogo kinachotatulika, kua mwanaume, fanya maamuzi ya kiume, mwanaume hakimbii tatizo bali hukabiliana nalo, nasisitiza mpe muda apone vizuri, kuanzia miezi 6 baada ya kujifungua.
 
Anaweza kuwa kaonja nje sasa anafananisha, na tusimuhukumu, ila kama ndiyo, mara nyingi hakuna solution kwa hawa viumbe
 
Tatizo vijana wengi wanashindwa kutofautisha mademu wa show na wife material ndo maana Kila kukicha mnalalama mnatukanwa na wake zenu.
 
Kama amesema yeye mwenyewe hafurahii sasa ndugu sisi tutakupa ushauri gani ili aanze kukufurahia?

Na kama mbooo yako ni fupi kwake sisi tunajua anataka saizi gani tukushauri uitengeneze ifike saizi anayopenda na kuifurahia?

Nadhani haujaja hapa duniani kufurahisha mke. Utakuwa unaelewa namaanisha nini. Mkikutana kila mtu mme na mke aje na furaha yake ili mfurahie maisha. Sio mmoja ategemee kufurahishwa.
Lakini kila nikiangalia mboo yangu sio kwamba ni kibamia apana Nina mboo ya kutosha kabisa hata kama sio kubwa saana lakini ni yakutosha.
Sasa mtumiaji ndio kakwambia haimfai. Kwani unatumia wewe useme sio kibamia?
Najiuliza maswali mengi niachane na mwanamke uyu au niendelee naye.
Mpaka sasa jibu sahihi unalo ila umeamua kujifanya haujui kuamua wakati mpaka kuandika haya hapa JF umeamua. Liamue na hilo sasa.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu au msaada wenu kwa yeyote ambaye amewahi kupitia changamoto hii
Ushauri ni kwamba, hakuna mwananzengo anaeshauri kuvunja ndoa ya mtu. Amua mwenyewe.

Atakupa wewe akiwa amekaza kiuno kama gogo uridhike. Na yeye akiweza atatafuta ndefu ya kuifurahia.

Changamoto zinapishana. Sijui kama kuna mtu amepitia moja kwa moja kama yako. Ila ukweli unaujua na umeambiwa.

Ushauri. VUMILIA TU NA SHAURIANENI NINI CHA KUFANYA ILI UMFURAHISHE.
 
Tatizo lake ili sio kwamba limeanza kaada ya kujifungua apana hata kabla ya kujifunguwa alikuwa ivi ivi tu
Sikupi ushauri ila ingekuwa ni mimi ningefanya hivi:

Kumuuliza kwanini amekubali kuzaa na mtu ambaye hamridhishi?

Je, atawezaje kuishi katika hali hii ya kutoridhika maisha yake yote? Jibu ni hapana lazima atoke kutimiza tamaa zake.

Pia ningemuuliza kwa mtego kuwa angependa niongeze maumbile ili nimridhishe, akisema ndio tambua kabisa huyo ni malaya na usifanye hicho kitu maana hatoridhika hata ukiongeza.

Maamuzi yangu ningetafuta mchepuko wa kuwa naye bila kificho kwake maana binafsi siwezi kushiriki tendo na mtu ambaye hana hisia na mimi(kumbaka).
 
Ndugu Kwisha, kwanza pole sana. usifanye maamuzi ya pupa, miezi miwili ni kipindi kifupi mno.

Wanawake wengi wakijifungua huwa na mabadiliko makubwa mwilini mwao.

Pili, mapenzi huegemea zaidi kwa mtoto. Zungumza naye taratibu na usiache kuonyesha kumpenda na kumjaali.

Usihofu wewe huna shida na yeye hana shida pia. Hiyo ni hatua ya kawaida katika ndoa pindi mtoto anapozaliwa.

Take your time!
 
Mkuu mwenzako unamwaribia,sababu ya we kiachana na mkeo ni tofauti kabisa,usimwingize chaka.maamuzi Yako kwake mwenyeewe.
 
Hapa eidha wewe una kibamia au yeye ana rambo, au combination of the two, kwamba kuna rambo na kibamia at the same time.!!
 
Kuza kadudu hako ,utunze ndoa
 
Acha story za kitoto hizo Evelyn Salt Shadeeya mchukueni Inbox huyu mkamsaidie
 
Kuna muogo unamkuna vizuri.
 
Unajisifia ya kutosha wakati unayempatia haimtoshi??? 🫢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…