Je, unaweza kuendelea kuishi na mwanamke wa namna hii ?

Ushauri wangu uende hospital kupimwa afya ya akili. Pia ngono isiwe kipaumbele sana utakuwa hayawani.
 
Da kulaleki walahi mi huku nimeachika kisa dyudyu langu kubwa kule mtu analalamika kuwa dudu halifiki?
 
Tafuta pesa hata uwe na kibamia atakifurahia tu.
 
Hiyo hali ya kutukuenjoy hata kabla ya kujifungua or kuoana ilikuwepo alikua haenjoy? Huenda ni mabadiliko baada ya kujifungua🤔
 
For Promotional use Only.
 
Hapana miezi miwili baada ya kujifungua ni kwamba amepoteza apetite ya sex, na amekujibu hivyo kukukera anajua utapunguza ili apate muda wa kupumzika na kumhudumia mtoto, wanawake wakitoka kujifungua huwa wanapoteza hamu ya mapenzi, ni atafanya ili kukuridhisha ili pengine usichepuke
 
Mlete kwangu nimuonyeshe jinsi pumbu inavyopigwa
 
Binafsi naona mkeo alijibu tu hivyo alivyojibu lakini hakumaanisha kile alicho jibu. Yaani ni kama alijibu ili mjadala usiendelee. So usiumize kichwa sana. Wewe endelea ku enjoy life tu. Kuna siku atafunguka tu mwenyewe.
 
Wewe Bado sana kwenye Angle hii. Miezi miwili kama amejigungua salama na yupo Tyr kukupea inafaa kabisa labda kama akajifungu Kwa Op
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…