Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Feliz1

New Member
Joined
Sep 25, 2022
Posts
4
Reaction score
10
Ukiwa kama mtoto wa kiume unayetegemea kuoa je, unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?
 
Ukiwa kama mtoto wa kiume unayetegemea kuoa je, unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Vipi mwanawane unataka kujitosa kwa single mama nini? Itakuwa anakupa mapenzi moto moto mpaka unataka kubeba mazimaa
 
Why not? Kama mwanamke anajielewa unaoa tuu. Cha msingi kaburi la baba mtoto uwe umeliona🤣🤣🤣🤣🤣
Hhhh yani ulivyoanza na ulivyonaliza ni very technical.

Kama hujaona kaburi lake basi uandae kaburi lako
 
Wanamke wenye watoto wengi wao wanajielewa na huwa na hasira sana ya kuwa na maisha bora ili wawaoneshe waliowaacha jinsi maisha yalivyo wanyokea

Kiufupi ni hustlers sana

Ila tatizo ni kiporo Baba fulani amenipigia simu anataka amsalimie mtoto mwanaume ukiambiwa hivi jua imeisha hiyo

Ndio maana wengi wanakwepa kuwa nao
Maumivu ya kuchapiwa ni makali sana hata kama game mnaanza 1-0

Igweee
 
Kuoa mwanamke mwenye mtoto/ watoto Ni Moja Kati ya maamuzi magumu ambayo mwanaume anaweza kuyafanya.Especially Kama baba mtoto angali hai,Hapa kuchapiwa mke kupo nje nje.
utachapiwa Sana aisee!
 
Mi ninae mmoja ana watoto wawili...naweza muoa kabisaa
Ispokuwa tu sasa nina mke na mtoto mmoja.
Ila ningekutana na huyu pamoja na watoto wake Walah ningemuoa.

Ana sifa zote na anajua kutafuta pesa.
 
Kuoa mwanamke mwenye mtoto/ watoto Ni Moja Kati ya maamuzi magumu ambayo mwanaume anaweza kuyafanya.Especially Kama baba mtoto angali hai,Hapa kuchapiwa mke kupo nje nje.
utachapiwa Sana aisee!
Siyo kweli, mbona mimi single mother wangu kaolewa na sijawahi kuchapa na hatujawahi kuongelea hili suala la kuchapana zaidi ya kutuma matumuzi ya mtoto tuu.
 
Back
Top Bottom