Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Shida sio kuoa mwanamke mwenye mtoto mkuu hawa masingo maza wengi wao wana trauma mengi waliyoyapitia huko nyuma yamewaharibu kiakili na kifikra yamewavunja mioyo yao vipandevipande kikubwa wanachojali ni watoto wao hayo mengine utajua mwenyewe so choice wisely
 
Kwani ni vibaya kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Ndiyo vibaya sisi wabantu tumezoea mwanamme ndiyo anakuwa na watoto na mke zaidi ya mmoja na siyo mwanamke anakuwa na watoto wa baba zaidi ya mmoja , ndiyo maana wanawake kutoka bara akiwa na watoto mfano 5 mme wake akafariki huwezi kuona anaolewa tena na kuzaa muda mwingi atatumia kulea wanae ili wasije kuteseka, lakini wanawake wa pwani atakuwa na watoto 10, siku akifiwa na mume wake tu lazima ataolewa na kuzaa tena watoto

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Moronight walker unaogopa kuoa single maza?Umejitwisha jina "nene" halafu muoga?
Sio kuogopa , ishu ni kupunguza uwezekano wa matatizo yatakayo tokana na uwo usingle mother.
Na pia kwangu sita jisikia vizuli kuona mtoto wa mkeo aliyezaa na mwanaume mwingine akija hata milamgoni pangu.
Sasa yani nini hayo coz yatanileleka dhambini tuu.
 
Back
Top Bottom