Wapi 50ml kila kijiji?Magufuli anatenda lile analoliongea na tabia hiyo inampatia heshima kubwa kwa watu.
Nimemkosoa Lissu mwenye agenda mbaya zilizojificha katika ujengaji wake wa hoja.
aliyeleta mada amekimbia. upambe una gharamaNaomba sababu tatu tu, kwanini nisiseme ahsante walipa kodi watiifu niseme ahsante Magufuli ambaye tumemtuma asimamie vizuri fedha zetu ili zilete maendeleo kama hayo!?
Ona ulichoandika. Moja ya wajaza vichwa wa nchiYou're also just a stupid individual asiyejua kuwa hajui.
Mkuu mwanafunzi wa Chuo kikuu akikopa pesa bodi ya mikopo, degree anayopata ni yake au ni ya bodi ya mkopo? Pongezi anapewa yeye au bodi iliyomkopesha.Pesa itoe world Bank tena ya mkopo, pongezi apate magufuli? Ukiwa na njaa na mpumbavu kama wewe unaweza fanya huo ujinga
Halafu pesa ya Mabeberu... Leo tunaishangilia kukamilisha mradi. Hivi mpaka Sasa kuna nini Magufuli ameacomplish kwa pesa zetu bila mchango wa Mabeberu....!!?Yani majukumu ya serikali leo hii inageuka fadhila? Halafu huyu anaesema haya ni mtu mwenye LL.b hahahah...ππππ
Na daraja lenyewe analiita interchange!!!Pasco nduki kakimbia uzi wake leo utalala na viatu uache kupost ujinga ujinga ndugu yangu watu wananjaa we unaleta ishu za daraja
Ni kweli kabisa wale wote waliokuwa wanakwama kwenye foleni inabidi washukuru. Lakini hawa ni wachache mno katika jamii nzima ya watanzania.
Ni vigumu sana kumshawishi mtu wa Tandahimba ashukuru kwa sababu kuna interchange ya kileo Ubungo wakati yeye barabara kwenda kijijini kwake au Mtwara haipitiki. Itakuwa unamtonesha kidonda.
Amandla...