Je, unaweza kurogewa viwakilishi vya starehe?

Iko hivi uchawi pamoja na kwamba kwa sehemu kubwa sana ni kuharibu lakini kamwe hautumii njia ya starehe kuharibu...yaaniIko hivi uchawi pamoja na kwamba kwa sehemu kubwa sana ni kuharibu lakini kamwe hautumii njia ya starehe kuharibu...

Hapa umeeleweka

Ni mara chache mno kukuta mtu karogewa chanzo cha starehe

Chakuambiwa changanya na chako
 
Naungana na wewe mkuu.....Kuna bro wangu alilaaniwa na Bibi akaambiwa asipo acha pombee maisha yake yatakuwa ovyo sana.bibi alishafariki now jamaa Ni mlevi mbwaaa
 
Jamaa yetu mmoja ni mlevi mbwa (laana ya mamaake) ....Ni yeye na vikali tu lakini mpaka leo yuko hai hajafa ila hana mbelee hana nyuma...uzuri wake hakopi pombe haombi pombe anakunywa pesa yake tuu
 
Sikubaliani na hoja yako mkuu hata kidogo.

Ipo hivi, watu wanakuroga usifanikiwe kimaendeleo kupitia starehe unayoipenda ,kama mpenda pombe utarogwa kila pesa unayoipata iishie huko huko kwenye pombe na usifanye mambo ya kimaendeleo mfano kusomesha watoto,kujenga nk .
Kama kuna kaukweli fulani vile... Nina ushuhuda wa mwalimu mmoja, alianza kwà kununua kiwanja, Yaani ile anaanzisha tu msingi, mtoto akaugua hoi taabani, ile pesa ambayo angejengea msingi akaipeleka hospitali kwenye matibabu ya mtoto. Ujenzi ukasimama. Akavuta nguvu tena, akachukua mkopo akajitahidi mafundi wakauendeleza ule msingi wakauinua ukuta hadi kwenye lenta. Wakati jamaa anafikiria hela ya kenchi, mama yake akaugua hoi Kijijini ikabidi amuagize aje mjini kwà matibabu zaidi kwakua ni karibu na hospital, kumpima eti amepata Kansa ya utumbo, jamaa alichanganyikiwa mno. Sasa wakati jamaa anaanza kuwaza kuhusu kuuza hilo jengo aliloanzisha ili apate pesa ya matibabu ya mama yake, ikawa bahati kuna anko wake alikuwa anasali kwenye haya makanisa ya walokole. Siku hiyo ameenda kwenye ibada akaitwa mbele kwenye madhabahu akatolewa unabii juu ya kinachowasibu kwenye familia yao na akaambiwa kinacho msumbua dada yake sio kansa ni pepo alitupiwa. Siku iliyofuata ikabidi awaendee, ile wanaingia tu kanisani yule mama mapepo yakapanda yakasema kuwa yenyewe ndio yapo nyuma ya huo ugonjwa, na hata kama wangempeleka India asingepona. Yule anaejiita nabii (jina kapuni) akamuombea mapepo yakaaga, yule mama mzima Hadi leo. Jamaa kashajenga nyumba yake na kazini kapandishwa cheo.
Angalizo. Hapa sitangazi dini ya mtu nimetoa tu ushuhuda kwenye kile nilichoshuhudia.
Kiimani Mimi ni muislamu, hivyo siwezi pindisha nilichoshuhudia.
Mkuu Mshana Jr hivi Hawa wanaojiita Manabii hayo mambo ya kuponya ni kweli Yesu ndio anatenda au ni zuga tu?
 
@Mshana Jr
 
Haramu hairogwi ....take it from me...hayo ni mapepo na laana...kama umeambiwa hivyo umeongopewa pakubwa
 
Kwenye Bible wametabiriwa kuwa watakuja manabii na mitume wa uongo ...watakuwa na uwezo wa kufanya miujiza kama kuponya mpaka kufufua watu lakini tunaaswa TUSIWAAAMINI KAMWE
 
Mkuu Nakupinga kwa nguvu zote.
Unaweza kulogewa ngono vizuri kabisa.

Pombe ndo kabisaaa.. natokea mtaa ambao wataalamu wakiona pombe unayopendelea kunywa huenda baa husika unayopendelea na kuinyooshea kidole na kunuia maneno yao. Baada ya hapo wewe unakuwa Chapombe mazima. Tiba yako ni kutapishwa.
 
Hii ni mada Fikirishi sana ukiangalia na yanayotokea kwenye jamii zetu na mikasa mbalimbali inayowakumba watu. Kama hayajakufika shukuru Mungu.
Kongole kwà Mshana Jr , kutuletea vitu vyenye kujenga na sio, watu kuwaza "kula tunda ki masihara"
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1548][emoji1752][emoji1752]
 
Mkuu Nakupinga kwa nguvu zote.
Unaweza kulogewa ngono vizuri kabisa.

Pombe ndo kabisaaa.. natokea mtaa ambao wataalamu wakiona pombe unayopendelea kunywa huenda baa husika unayopendelea na kuinyooshea kidole na kunuia maneno yao. Baada ya hapo wewe unakuwa Chapombe mazima. Tiba yako ni kutapishwa.
Hadi ngono watu wanalogewa[emoji1787][emoji1787]
Inamaana wale mabaharia,, wazee wa mkongo teyari wamepigwa chuma[emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu Nakupinga kwa nguvu zote.
Unaweza kulogewa ngono vizuri kabisa.

Pombe ndo kabisaaa.. natokea mtaa ambao wataalamu wakiona pombe unayopendelea kunywa huenda baa husika unayopendelea na kuinyooshea kidole na kunuia maneno yao. Baada ya hapo wewe unakuwa Chapombe mazima. Tiba yako ni kutapishwa.
Hapo ni tofauti na nilichoandika huo ni uchawi wa kawaida kabisa ambao si pombe tu bali huyo mtu mbaya anaweza kufanya akikuona....na hapo harogi pombr bali matamanio yako kwa pombr
 
Back
Top Bottom