Je, unaweza kurogewa viwakilishi vya starehe?

Vipi kuhusu nyota ya mtu ya pesa kuhabiwa hasa utumiaji hovyo wa pesa kwa njia hizo tajwa na mhusika kupata akili pesa inapoisha tu na kabla hajapata pesa ila akipata tu wiki2 hazifiki pesa kwisha. Hii inaukweli au huwa ipogo kweli?
 
Ina ukweli mwingi tu lakini inaangukia kwenye mapepo...hizo wiki mbili nyingi sana kuna watu hawamalizi hata wiki..hili tatizo wengi wamesaidiwa na tiba ya chumvi
Ukiachana na matumizi mabaya kama starehe nk ...kuna wengine pesa inayeyuka tu kimaajabu..yani ukija kupiga hesabu pesa uliyopata mwezi mzima au mwaka na maisha uliyonayo haviendani kabisa..sometimes pia mahusiano huchangia hii hali pale unapopata mtu ambaye sio sahihi kiroho
 
Mkuu Mshana ebu saidia kutoa elimu juu ya hilo nyota na matumizi ovyo ya bila kujitambulisha ya pesa
 
Ina ukweli mwingi tu lakini inaangukia kwenye mapepo...hizo wiki mbili nyingi sana kuna watu hawamalizi hata wiki..hili tatizo wengi wamesaidiwa na tiba ya chumvi
Ukiachana na matumizi mabaya kama starehe nk ...kuna wengine pesa inayeyuka tu kimaajabu..yani ukija kupiga hesabu pesa uliyopata mwezi mzima au mwaka na maisha uliyonayo haviendani kabisa..sometimes pia mahusiano huchangia hii hali pale unapopata mtu ambaye sio sahihi kiroho
Duuh mkuu hii hatari, yawezekana mtu akawa na mke na mke akawa sio sahihi kiroho?na hii dhana ya chumvi huambatana na nini katika kumsaidia mhusika na on average matumizi ya hio chumvi ni marangapi kwa siku? Dunia ndio shule nimeamini
 
Mkuu Naomba uzungumzie kuhusu kubeti na kucheza Kamari.. Je sii kulogwa huko???
Hawa wanafanya makafara makubwa mawili
La kwanza ni kafara la mvuto.. Hili ni maalum kukuvutia ushiriki
La pili ni kafara la kuliwa...chance za kushinda zinakuwa finyu...wanashinda wawili tu kati ya kumi...
Usijaribu kwenda kwa mganga kuroga ili ushinde kamari utapoteza pesa yako kwakuwa ulozi wako hautakuwa na nguvu kuliko kafara walilofanya
 
Mkuu Kwanini unakuta Ulikuwa na Akili timamu za Kutafuta Hela Kisha ukijiingiza Huko hutoki mpaka ufilisike Kabisa uuze Kila kitu na kuwa tapeli Mwisho unarudi kijijini hoehae.... Haiwezekani kuna Kulogwa hapa ili ufilisike???
 
duuh mkuu hii hatari, yawezekana mtu akawa na mke na mke akawa sio sahihi kiroho?na hii dhana ya chumvi huambatana na nini katika kumsaidia mhusika na on average matumizi ya hio chumvi ni marangapi kwa siku? Dunia ndio shule nimeamini
Yeah ipo sana hii na inatokea katika mazingira haya
1 Nyota zinapopishana
2. Mke mlango wa nane
3. Mambo ya limbwata

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu
 
Mkuu Kwanini unakuta Ulikuwa na Akili timamu za Kutafuta Hela Kisha ukijiingiza Huko hutoki mpaka ufilisike Kabisa uuze Kila kitu na kuwa tapeli Mwisho unarudi kijijini hoehae.... Haiwezekani kuna Kulogwa hapa ili ufilisike???
Haya ni mapepo unatupiea pepo la kufilisika...yaani unakuwa punda mpaka nguvu zikuishie unakuwa mtumwa wa wengine
Na kwenye kamari wanateengeneza punda mmoja kila siku...epuka sana kuwa wa kwanza kucheza kamari siku inapoanza
 
Mkuu Asante kwa Ufafanuzi... Yaliyowahi Kunikuta Acha Tuu... Mungu mwema Sana naona Ushindi nazidi kusonga Mbele
 
Yeah ipo sana hii na inatokea katika mazingira haya
1 Nyota zinapopishana
2. Mke mlango wa nane
3. Mambo ya limbwata

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu
Ni maana mke mlango wa nane na ufanunuzi wake tafadhari wanakuwaje?
 
Back
Top Bottom