Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mkuu kwa sisi walevi tuathirika vip na huo uchawi...Wenye mabar na vilabu vya pombe wanaroga sana lakini kamwe hawapeleki chupa ya pombe kwa mganga bali wanapeleka kiti au mchanga wa getini
Unavutika kwenda pale ukifika pale sio mahali pa kupiga soga...ni sehemu yenye vishawishi vya pombe vyakula na wanawake...ushawishi hujenga mazoea, mazoea hujenga tabia baada ya hapo umekwishaHapo mkuu kwa sisi walevi tuathirika vip na huo uchawi...
Ina ukweli mwingi tu lakini inaangukia kwenye mapepo...hizo wiki mbili nyingi sana kuna watu hawamalizi hata wiki..hili tatizo wengi wamesaidiwa na tiba ya chumviVipi kuhusu nyota ya mtu ya pesa kuhabiwa hasa utumiaji hovyo wa pesa kwa njia hizo tajwa na mhusika kupata akili pesa inapoisha tu na kabla hajapata pesa ila akipata tu wiki2 hazifiki pesa kwisha. Hii inaukweli au huwa ipogo kweli?
Mkuu Mshana ebu saidia kutoa elimu juu ya hilo nyota na matumizi ovyo ya bila kujitambulisha ya pesaVipi kuhusu nyota ya mtu ya pesa kuhabiwa hasa utumiaji hovyo wa pesa kwa njia hizo tajwa na mhusika kupata akili pesa inapoisha tu na kabla hajapata pesa ila akipata tu wiki2 hazifiki pesa kwisha. Hii inaukweli au huwa ipogo kweli?
Duuh mkuu hii hatari, yawezekana mtu akawa na mke na mke akawa sio sahihi kiroho?na hii dhana ya chumvi huambatana na nini katika kumsaidia mhusika na on average matumizi ya hio chumvi ni marangapi kwa siku? Dunia ndio shule nimeaminiIna ukweli mwingi tu lakini inaangukia kwenye mapepo...hizo wiki mbili nyingi sana kuna watu hawamalizi hata wiki..hili tatizo wengi wamesaidiwa na tiba ya chumvi
Ukiachana na matumizi mabaya kama starehe nk ...kuna wengine pesa inayeyuka tu kimaajabu..yani ukija kupiga hesabu pesa uliyopata mwezi mzima au mwaka na maisha uliyonayo haviendani kabisa..sometimes pia mahusiano huchangia hii hali pale unapopata mtu ambaye sio sahihi kiroho
Hii ya leo kali bonge la darasaMkuu Naomba uzungumzie kuhusu kubeti na kucheza Kamari.. Je sii kulogwa huko???
Hawa wanafanya makafara makubwa mawiliMkuu Naomba uzungumzie kuhusu kubeti na kucheza Kamari.. Je sii kulogwa huko???
Mkuu Kwanini unakuta Ulikuwa na Akili timamu za Kutafuta Hela Kisha ukijiingiza Huko hutoki mpaka ufilisike Kabisa uuze Kila kitu na kuwa tapeli Mwisho unarudi kijijini hoehae.... Haiwezekani kuna Kulogwa hapa ili ufilisike???Hawa wanafanya makafara makubwa mawili
La kwanza ni kafara la mvuto.. Hili ni maalum kukuvutia ushiriki
La pili ni kafara la kuliwa...chance za kushinda zinakuwa finyu...wanashinda wawili tu kati ya kumi...
Usijaribu kwenda kwa mganga kuroga ili ushinde kamari utapoteza pesa yako kwakuwa ulozi wako hautakuwa na nguvu kuliko kafara walilofanya
Yeah ipo sana hii na inatokea katika mazingira hayaduuh mkuu hii hatari, yawezekana mtu akawa na mke na mke akawa sio sahihi kiroho?na hii dhana ya chumvi huambatana na nini katika kumsaidia mhusika na on average matumizi ya hio chumvi ni marangapi kwa siku? Dunia ndio shule nimeamini
Haya ni mapepo unatupiea pepo la kufilisika...yaani unakuwa punda mpaka nguvu zikuishie unakuwa mtumwa wa wengineMkuu Kwanini unakuta Ulikuwa na Akili timamu za Kutafuta Hela Kisha ukijiingiza Huko hutoki mpaka ufilisike Kabisa uuze Kila kitu na kuwa tapeli Mwisho unarudi kijijini hoehae.... Haiwezekani kuna Kulogwa hapa ili ufilisike???
Mkuu Asante kwa Ufafanuzi... Yaliyowahi Kunikuta Acha Tuu... Mungu mwema Sana naona Ushindi nazidi kusonga MbeleHaya ni mapepo unatupiea pepo la kufilisika...yaani unakuwa punda mpaka nguvu zikuishie unakuwa mtumwa wa wengine
Na kwenye kamari wanateengeneza punda mmoja kila siku...epuka sana kuwa wa kwanza kucheza kamari siku inapoanza
Ni maana mke mlango wa nane na ufanunuzi wake tafadhari wanakuwaje?Yeah ipo sana hii na inatokea katika mazingira haya
1 Nyota zinapopishana
2. Mke mlango wa nane
3. Mambo ya limbwata
Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu
Nipende kwanza kujivunia kwa mada ya tiba mbadala ya chumvi ... Sijivunii kwa wingi wa wachangiaji la hasha bali kwa mada husika kuwa msaada mkubwa kwa wengi mno... Tiba ile imewasaidia hasa kwenye Kutopatwa na mauzauza tena Kuota ndoto mbaya na za kuogofya Kupata usingizi mororo Kukingwa na...www.jamiiforums.com
Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu
Ni aina ya wanawake ambao hawaolewi ..ukimuoa huyo kila kitu ulichokuwa nacho kinapukutika mpaka unakuwa maskini kabisa...wengine ni mabalaa na changamoto mwanzo mwishoNi maana mke mlango wa nane na ufanunuzi wake tafadhari wanakuwaje?
Mkuu Tatizo siwezi kuandika kwenye simu. Nitajitahidi niandikie kwenye Computer...Pole na hongera sana ulichomokahe? Kama hutojali simulia kidogo