Je, unaweza kurogewa viwakilishi vya starehe?

Kuna nguvu za giza na kuna uchawi....uchawi ni kasehemu kadogo tu ndani ya nguvu za giza...nguvu za giza zipo nyingi hata hizo starehe ukiona zinakupelekesha jua ni nguvu za giza...lengo ni moja tu: kuiba, kuharibu eventually kuua!!
 
Kweli mkuuu...Kwenda kinyume na maadili sio poa
 
Kuna nguvu za giza na kuna uchawi....uchawi ni kasehemu kadogo tu ndani ya nguvu za giza...nguvu za giza zipo nyingi hata hizo starehe ukiona zinakupelekesha jua ni nguvu za giza...lengo ni moja tu: kuiba, kuharibu eventually kuua!!

Asante sana kwa ufafanuzi mzuri
 
Khaaaaa, kumbe Mshana Jr si mchawi kweli....mbona wenzako wanaroga sana kupitia starehe ulizozitaja hapo juu? Jiongeze bwana, rudi Mombasa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Tupo wengi mtani tuna tatizo la kunywa kupitia kiasi,kuhsribu mali na aibu za kila namba.Mimi nalewa sana ila matokeo ni mabaya sana,Nina miaka 54 Sasa hvi ila starehe yangu kubwa ni pombe halafu wanawake.
Mshana simu ambanzo nishspoteza na ndugu na mke wangu kuniuliza simu Iko wapi ni 9 Hizo sijauza Wala kugawa,Napata taabu sana,!!!???
 
Wewe sio ulozi ni umenenewa vibaya na ndugu wa karibu au wazazi, au pengine ni laana ya ukoo na mambo ya kurithi majina
 
Kwa hiyo hapa mkuu umemaanisha uchawi wa kimaskini au wa mtu wa kati hauna nguvu ya kumuathiri tajiri?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…