hapana,Wewe hutaki kuchangia ewe ndugu mdau au mada ni nzito kwa upande wako?
Tafsiri ipi?Hiyo tafsiri ni kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili au ni tafsiri yako binafsi?
SawaYeah!!!
π£TUTAKUFATALIA..
Mkuu nakusalimu,JASUSI !
Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo
Maana yake anajua kabisa mimi nafanya ujasusi kwa ajili ya mslahi fulani
Anaweza kua jasusi kwenye siasa
Anaweza kua jasusi kwenye biashara nk......
Mimi naelewa hivyo kama sipo sahihi naomba nisahihishwe
Lakini swali langu la msingi liko hapa
π
Je, unaweza kuwa jasusi bila kujijua? π€
Yaani, inawezekana watu wakawa wanakutumia wewe kukusanya taarifa mbalimbali huku wewe ukifanya hivyo bila kujua kwamba taarifa hizo zinatumika kwa shughuli za kijasusi?
Mfano, unaweza kuwa unaulizwa maswali fulani, unaombwa taarifa kuhusu watu au sehemu fulani, au unaambiwa ufuatilie jambo fulani ukidhani ni kitu cha kawaida
Kumbe taarifa unazokusanya zinapelekwa mahali pengine na kutumika kwa malengo ambayo wewe huyajui
Sasa unawezaje kutambua kua unatumika kufanya ujasusi au unafanywa kua chanzo cha taarifa
Ni dalili zipi ukiziona ujue hapa kuna namna natumika kufanya Ujasusi
Swali la nyongeza ikiwa kweli mtu huyo anatumika kuafanya ujasusi hata kama mwenyewe hatambui
Je huyo ni jasusi au ni chanzo cha taarifa ?
Chombezo Dar es Salaam ni nyeusi angani β«οΈ
ShesRise_1 βοΈ
Aah! Mi nimeuliza tu, maana muendelezo wa kesi pendwa umenifundisha mengi. Kwamba ukitoa tafsiri ya neno uoneshe kwenye Kamusi.Tafsiri ipi?
Kama kuna makosa rekebisha mkuu karibu
Huyo Kim Jong Un alianza kuandaliwa bila yeye kufahamu kua anatengenezwa ?hapana,
mada ni nyepesi mno kisiasa but strategically ni very crucial.
Kwa mfano,
kisiasa, vyombo vya usalama vinapobaini mtu fulani ana potentiality fulani katika uongozi wa umma, bila hata yeye kujua, vyombo hivyo vinaweza kuanza kumlea na kumuimarisha mpaka wakati muafaka utakapofika kumtumia. Na ndio maana tunaona akina Kim Jong Un wamekua viongozi wakakamavu tangu kushika hatamu za uongozi wa taifa lao.
wanausalama wanaweza kukusanya taarifa fulani wanazohitaji bila wadau wa Jf kujua, ingawa wao ndio wametoa taarifa hizoIn fact,
hata wewe unaweza kutumika na wanausalama kukusanya taarifa fulani dhidi ya jambo fulani bila hata wew kujua. Yaani ukawa human drone. Na hata humu jukwaani, wanausalama wanaweza kukusanya taarifa fulani wanazohitaji bila wadau wa Jf kujua, ingawa wao ndio wametoa taarifa hizo.
SawaIn fact ni jambo la kawaida sana katika uwanda wa siasa katika hatua za mwanzo kabisa za upelelezi π
Wow nzurii hii
Kwa uelewa wako
Je mtu anaweza kutumika kufanya ujasusi bila yeye kujua kama anatumika?
Shukran mkuuMkuu nakusalimu,
Asante kwa ufafanuziKwa uelewa wangu mdogo labda ningeanza na neno maana ya
UJASUSI, hii kazi anayoweza kuifanya mtu, mnyama, ndege au kifaa ili kupata taarifa fulani zenye uhakika(taarifa sahihi,UKWELI WA JAMBO)
JASUSI; Mara nyingi tunamuweka ni mtu, lakini huyu mtu anaweza kutumia kifaa, kumtumia mnyama au ndege, pia anaweza kumtumia mtu mwingine kwa kujua au kutokujua.
Mtu anayetumiwa kwaajili ya ujasusi anaweza kuitwa jina lolote lakini yaliyozoeleka ni haya -:
INSIDER;
Huyu ni mtu anaetumika kuchukua taarifa ndani ya taasisi, kundi au familia. Yaani huyu kama ni wizi mtaiba wote ila yeye anajua anachokifanya.
ASSET;
Huyu ni mtu anaetumika kutoa taarifa fulani pasipo kujua anatumika. Yaani huyu anakua amefungwa kitambaa cheusi usoni haelewi chochote lakini anakua anafanya kazi kusudiwa ya kutoa taarifa.
INFOMER;
Huyu ni mtu anaweka katika mazingira fulani yeye kazi yake ni kutoa taarifa ya nini kinaingia na nini kinatoka, mara nyingi Hawa watu huwa wanajua wanachokifanya na huwa hawapo rasmi yaani yupo kwaajili ya mission fulani. Hawa ndio hupewa donge nono alafu anahamia mtaa fulani ili kufuatilia nyendo za mtu au anapewa kazi kwenye ujenzi wa majengo ili kufuatilia ratio na mambo mengine.
Shukran sana bro ππMtu anaweza kujua kwamba anatumika pale tuu yeye mwenyew atakapojitambua. Kama hujitambui bhasi huwezi kuelewa kuwa unatumika maana muhusika anaweza akawa anakuomba hizo taarifa kwa njia nyingi, inaweza kuwa kwa story au njia nyingine tofauti alafu pia anaweza kutumia hata mwaka ili kupata taarifa sahihi.
Dalili za kwamba unatumika
Kuulizwa maswali yenye muelekeo mmoja na inaweza kuwa kwa nyakati tofauti tofauti lakini swali uliloulizwa linakua na majibu yanayoendana na maswali yaliyopita. Connect dot
Mwisho; ikiwa mtu anatumika hatuwezi kumuita JASUSI bali yeye atakua ni chanzo Cha taarifa yaani ASSET, INFORMER.
Salama zimefika karibu tenaHuku Ndola,Zambia jua ni kali sana lakini naenjoy na STARLINK.
Wasalimu sana Dar es salaam.
π π aisee hivi weweAah! Mi nimeuliza tu, maana muendelezo wa kesi pendwa umenifundisha mengi. Kwamba ukitoa tafsiri ya neno uoneshe kwenye Kamusi.
Sio lazima uwe na mafunzo unaweza ukawa unatumika bila hata kujua.
ujasusi ni knowledge lazima uwe na mafunzo sio mtu yoyote anaweza kuwa jasusi
Usisahau ku share kakaView attachment 3668250
View attachment 3668251
Halafu uzuri huwa naweka kumbukumbu πππ
Nimecheki Google photo nimevikuta hivi vitabu nilikuwa najipiga. Nitashare maarifa kidogo
πππππ π aisee hivi wewe
Mtoto wa shule tulia sasaππππ
kwa mfano,Huyo Kim Jong Un alianza kuandaliwa bila yeye kufahamu kua anatengenezwa ?
wanausalama wanaweza kukusanya taarifa fulani wanazohitaji bila wadau wa Jf kujua, ingawa wao ndio wametoa taarifa hizo
Sijaelewa hapo π
Wanaweza kukusanya taarifa wanazohitaji bila sisi wadau kujua
Halafu hapo hapo taarifa wamezitoa wao?
Hebu weka sawa hapa
Sawa
Ujasusi ni kipaji, Ujasusi ni ajira.JASUSI !
Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo
Maana yake anajua kabisa mimi nafanya ujasusi kwa ajili ya mslahi fulani
Anaweza kua jasusi kwenye siasa
Anaweza kua jasusi kwenye biashara nk......
Mimi naelewa hivyo kama sipo sahihi naomba nisahihishwe
Lakini swali langu la msingi liko hapa
π
Je, unaweza kuwa jasusi bila kujijua? π€
Yaani, inawezekana watu wakawa wanakutumia wewe kukusanya taarifa mbalimbali huku wewe ukifanya hivyo bila kujua kwamba taarifa hizo zinatumika kwa shughuli za kijasusi?
Mfano, unaweza kuwa unaulizwa maswali fulani, unaombwa taarifa kuhusu watu au sehemu fulani, au unaambiwa ufuatilie jambo fulani ukidhani ni kitu cha kawaida
Kumbe taarifa unazokusanya zinapelekwa mahali pengine na kutumika kwa malengo ambayo wewe huyajui
Sasa unawezaje kutambua kua unatumika kufanya ujasusi au unafanywa kua chanzo cha taarifa
Ni dalili zipi ukiziona ujue hapa kuna namna natumika kufanya Ujasusi
Swali la nyongeza ikiwa kweli mtu huyo anatumika kuafanya ujasusi hata kama mwenyewe hatambui
Je huyo ni jasusi au ni chanzo cha taarifa ?
Chombezo Dar es Salaam ni nyeusi angani β«οΈ
ShesRise_1 βοΈ
wanausalama wanaweza kukusanya taarifa fulani wanazohitaji bila wadau wa Jf kujua, ingawa wao ndio wametoa taarifa hizo
Sijaelewa hapo π
Wanaweza kukusanya taarifa wanazohitaji bila sisi wadau kujua
Halafu hapo hapo taarifa wamezitoa wao?
Hebu weka sawa hapa
Shukrani sana mkuu.Shukran mkuu
Asante kwa ufafanuzi
Nimeelewa vingine hata sikua najua
Shukran sana bro ππ
Umeeleweka
Salama zimefika karibu tena
Umeuliza uliza vijimaswali vingii kwa kuzunguka zunguka, ni wewe nini mkuu unafanywa informer bila ridhaa yako?JASUSI !