ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #141
Mkuu tafadhari urudi umalizieHuyo mtu wao (asset) na huyo mtoa taarifa wao huitwa kwa kiingereza Unwitting asset au Unwitting informant.
Katika ulimwengu wa leo katika mataifa yote hii mbinu imekuwa ni muhimu sana na inokuwa na teknolojia.
Nchi zinoongoza kwa sasa duniani kwa kazi kama hizi ni Russia, China, Iran, Ukraine na Marekani.
Kwa mfano Russia ina assets zake duniani kote na kwa nchi kama Marekani na zile za Ulaya kila siku kimyakimya huwakamata hawa assets na informants na wengine hurudishwa makwao na wengine hufikishwa mahakamani na kufungwa wakipatikana na hatia.
Asset au informant akivuka mpaka na kuingia nchi ingine shughuli hubadilika na huitwa "Espionage".
Ntamalizia baadae ni kwa vipi Jasusi mwenyewe hupata taarifa nyeti kutoka kwa mtu wa kawaida kabisa hata akiwa mpiga deki hapo ofisini kwako.
In psychological terms, binadamu wote tuna kitu kinaitwa the need for status and affirmation yaani hitaji la ndani kabisa la kisaikolojia la kutaka kuonekana tunajua mambo, tuko vizuri, au tuna taarifa za ndani, professional handlers huwa wanatumia mbinu inayoitwa social engineering, kitu cha kwanza atakachokifanya akiwa anahitaji taarifa kutoka kwako, atakuja kusoma kwanza psychological profile yako, akishagundua una ego kubwa na unapenda sifa, atatumia njia hiyo hiyo kama mlango wa kuingilia ili apate taarifa husika kutoka kwako.JASUSI !
Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo
Maana yake anajua kabisa mimi nafanya ujasusi kwa ajili ya mslahi fulani
Anaweza kua jasusi kwenye siasa
Anaweza kua jasusi kwenye biashara nk......
Mimi naelewa hivyo kama sipo sahihi naomba nisahihishwe
Lakini swali langu la msingi liko hapa
π
Je, unaweza kuwa jasusi bila kujijua? π€
Yaani, inawezekana watu wakawa wanakutumia wewe kukusanya taarifa mbalimbali huku wewe ukifanya hivyo bila kujua kwamba taarifa hizo zinatumika kwa shughuli za kijasusi?
Mfano, unaweza kuwa unaulizwa maswali fulani, unaombwa taarifa kuhusu watu au sehemu fulani, au unaambiwa ufuatilie jambo fulani ukidhani ni kitu cha kawaida
Kumbe taarifa unazokusanya zinapelekwa mahali pengine na kutumika kwa malengo ambayo wewe huyajui
Sasa unawezaje kutambua kua unatumika kufanya ujasusi au unafanywa kua chanzo cha taarifa
Ni dalili zipi ukiziona ujue hapa kuna namna natumika kufanya Ujasusi
In espionage epistemology, ujasusi unahitaji intentional agency yaani nia thabiti, utambuzi wa hatari, na malengo ya makusudi. Kama huna hivyo vitu, huwezi kuwa jasusi. Hata kama kwa vitendo vyako umerahisisha ujasusi kufanyika, kifupi unabaki kuwa ni useful idiot.Swali la nyongeza ikiwa kweli mtu huyo anatumika kuafanya ujasusi hata kama mwenyewe hatambui
Je huyo ni jasusi au ni chanzo cha taarifa ?
OkMkuu tafadhari urudi umalizie
Usisau nimevutiwa sana
Hii ishanitokea kipindi cha zamani kidogo, kilichokuwa kinasaidia nilikuwa sio muongeaji kabisa.In psychological terms, binadamu wote tuna kitu kinaitwa the need for status and affirmation yaani hitaji la ndani kabisa la kisaikolojia la kutaka kuonekana tunajua mambo, tuko vizuri, au tuna taarifa za ndani, professional handlers huwa wanatumia mbinu inayoitwa social engineering, kitu cha kwanza atakachokifanya akiwa anahitaji taarifa kutoka kwako, atakuja kusoma kwanza psychological profile yako, akishagundua una ego kubwa na unapenda sifa, atatumia njia hiyo hiyo kama mlango wa kuingilia ili apate taarifa husika kutoka kwako.
In behavioral psychology, kuna mbinu inaitwa elicitation. Hapa ndipo penye uchawi wote wa ushushushu kwa sababu huu ni mchezo wa mazungumzo ambao mtu anachukua taarifa kutoka kwako bila wewe kugundua kuwa unahojiwa mfano mimi nataka taarifa fulani kuhusu kampuni yenu, badala ya kukuuliza "Hivi ule mradi wenu mpya wa ofisini unaendeleaje?" Niamue kutumia mbinu ya kisaikolojia inayoitwa flattery au false opposition yani swali niliweke kwa mtindo huu "Aisee naskia ofisi yenu imeshuka sana hadhi siku hizi, hamna hata miradi mipya."
Angalia hapa nini huwa kinatokea. Kwa kawaida Akili yako ikisikia hivyo, in psychological defense mechanism lazima akili yako itajihami kupitia hasira na ego uliyo nayo ili kulinda hadhi yako. Unaweza kujikuta unaongea mambo yote yanayoendelea kwenye kampuni yenu mpaka mipango mliyo nayo, neuro linguistically nakuwa nimeshapata data nilizokuwa nazitaka , yani nakuwa nimekutumia pasipo wewe kufahamu kwa muda huo kuwa umetumika.
In cognitive psychology, tuna dhana inayoitwa cognitive dissonance na reciprocity reflex. Sisi kama binadamu, mtu akikufanyia fadhila au akitengeneza urafiki wa karibu sana na wewe, kawaida ubongo wako utajenga hali fulani ya kujihisi kama una deni unalopaswa kuja kulilipa kwa huyo mtu, yani unakuwa unahisi unapaswa kumlipa huyo mtu fadhila. jasusi anapokuwa anakununulia baadhi ya vitu, anakupa zawadi ndogondogo, au anakusaidia shida zako. Inapotokea siku akakuomba fadhila ndogo kama kuhitaji kufahamu taarifa za mtu ambaye wewe unamfahamu vyema au kampuni unayoifahamu vyema lazima utashindwa kumkatalia kwa sababu ya lile deni la kisaikolojia lililoko kwenye subconscious mind yako. Utajikuta unampa.
In espionage epistemology, ujasusi unahitaji intentional agency yaani nia thabiti, utambuzi wa hatari, na malengo ya makusudi. Kama huna hivyo vitu, huwezi kuwa jasusi. Hata kama kwa vitendo vyako umerahisisha ujasusi kufanyika, kifupi unabaki kuwa ni useful idiot.
Inasikitisha sana kwa sababu katika ulimwengu wa intelijensia, the most perfect source is an unwitting source Kwa nini? Kwa sababu in psychology, mtu anayejua anafanya ujasusi huwa anakuwa na wasiwasi, anajihami, na anaweza kudanganya au kubadilika kuwa double agent. Lakini mtu asiyejua anatumika, huwa anatoa taarifa zikiwa zimenyooka zenye ukweli wa 100% na bila hofu yoyote, kwa sababu yeye anakuwa anadhani anapiga stori za kishkaji na rafiki yake wa faida.Mwisho wa siku baby huu mchezo ukiingia mkenge na siri zikavuja, jasusi halisi huwa lazima apotee kwa sababu tayari anakuwa ana exit strategy. Wewe unayeachwa na bomu mkononi ukipelekwa mahakamani au kufukuzwa kazi, ukitumia utetezi wa kisaikolojia eti sikuwa najua utajikuta unafanya upumbavu mwingine kwa sababu sheria huwa haitambui ujinga wa akili ya mtu, kwa hiyo kiuhalisia kabisa, huyo mtu anabaki kuwa ni chanzo cha taarifa tu kwa hao wenye akili kumzidi yeye (majasusi halisi).
Mkuu hii ndio silaha kuu, in behavioral psychology and tactical espionage, majasusi na handlers huwa wanaogopa aina moja tu ya binadamu - the introverted/silent target.Hii ishanitokea kipindi cha zamani kidogo, kilichokuwa kinasaidia nilikuwa sio muongeaji kabisa.
Mambo mengi kwa sasa yamebadilika na kwenye tactical espionage sasa hivi assets hupotezwa baada ya kazi kwa kulinda ya baadae.Mkuu hii ndio silaha kuu, in behavioral psychology and tactical espionage, majasusi na handlers huwa wanaogopa aina moja tu ya binadamu - the introverted/silent target.
Sahihi, ndio maana kwenye ulimwengu wa sasa ujanja pekee ni kuwa na high emotional and situational intelligence.Mambo mengi kwa sasa yamebadilika na kwenye tactical espionage sasa hivi assets hupotezwa baada ya kazi kwa kulinda ya baadae.
Itakuwa hivyo kama uko aware na mazingira uliyopo.Unakuwa unajijua labda uwe bwege
Mwaka fulan kwenye Taasisi fulan ya Serikali niliwai kupewa kazi lakin Baadae nashangaa naanza kuwekewa majukumu ambayo si yangu! The good thing nilikuwa na direct 5E kwa mkubwa wa nchi kabisa ! Akawa ananiuliza mambo namjibu na sikulipwa chochote Ila kazi ilipomalizika basi β¦β¦β¦β¦
At that time nilikuwa ni Technician nilikuwa naingia karibu ofisi zote za Serikali , mashirika ya kimataifa (UN, JICA etc na Mahotel hata Computers za wafanyabiashara wakubwa nilikuwa najionea mengi.Mkuu hii ndio silaha kuu, in behavioral psychology and tactical espionage, majasusi na handlers huwa wanaogopa aina moja tu ya binadamu - the introverted/silent target.
Huku niliko kuna security clearance na zina level mbalimbali kulingana na aina ya ujuzi ulo nao.At that time nilikuwa ni Technician nilikuwa naingia karibu ofisi zote za Serikali , mashirika ya kimataifa (UN, JICA etc na Mahotel hata Computers za wafanyabiashara wakubwa nilikuwa najionea mengi.
Wazee wa kazi walikuwa wanajaribu sana kunichota lakini. Mungu alikuwa ameniwekea nini sijui π€£
Nakumbuka kuna Don mmoja mpaka aliniambia fundi nakuogopa ujue π
sio tu kujibu maswali bila kujua, unaweza kufanya kabisa operation bila kujua kuwa hiyo operation wewe ndio umeifanyaJASUSI !
Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo
Maana yake anajua kabisa mimi nafanya ujasusi kwa ajili ya mslahi fulani
Anaweza kua jasusi kwenye siasa
Anaweza kua jasusi kwenye biashara nk......
Mimi naelewa hivyo kama sipo sahihi naomba nisahihishwe
Lakini swali langu la msingi liko hapa
π
Je, unaweza kuwa jasusi bila kujijua? π€
Yaani, inawezekana watu wakawa wanakutumia wewe kukusanya taarifa mbalimbali huku wewe ukifanya hivyo bila kujua kwamba taarifa hizo zinatumika kwa shughuli za kijasusi?
Mfano, unaweza kuwa unaulizwa maswali fulani, unaombwa taarifa kuhusu watu au sehemu fulani, au unaambiwa ufuatilie jambo fulani ukidhani ni kitu cha kawaida
Kumbe taarifa unazokusanya zinapelekwa mahali pengine na kutumika kwa malengo ambayo wewe huyajui
Sasa unawezaje kutambua kua unatumika kufanya ujasusi au unafanywa kua chanzo cha taarifa
Ni dalili zipi ukiziona ujue hapa kuna namna natumika kufanya Ujasusi
Swali la nyongeza ikiwa kweli mtu huyo anatumika kuafanya ujasusi hata kama mwenyewe hatambui
Je huyo ni jasusi au ni chanzo cha taarifa ?
Chombezo Dar es Salaam ni nyeusi angani β«οΈ
ShesRise_1 βοΈ
Labda hiyo operation iwe online na sio on the ground.sio tu kujibu maswali bila kujua, unaweza kufanya kabisa operation bila kujua kuwa hiyo operation wewe ndio umeifanya
ili upate Idea, fatuta hii inaitwa operation sparrow utaelewaLabda hiyo operation iwe online na sio on the ground.
Kwa msingi wa kijasusi huyo siyo jasusi ila anatambulika kama non-informer (mtoa taarifa asiye rasmi)JASUSI !
Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo
Maana yake anajua kabisa mimi nafanya ujasusi kwa ajili ya mslahi fulani
Anaweza kua jasusi kwenye siasa
Anaweza kua jasusi kwenye biashara nk......
Mimi naelewa hivyo kama sipo sahihi naomba nisahihishwe
Lakini swali langu la msingi liko hapa
π
Je, unaweza kuwa jasusi bila kujijua? π€
Yaani, inawezekana watu wakawa wanakutumia wewe kukusanya taarifa mbalimbali huku wewe ukifanya hivyo bila kujua kwamba taarifa hizo zinatumika kwa shughuli za kijasusi?
Mfano, unaweza kuwa unaulizwa maswali fulani, unaombwa taarifa kuhusu watu au sehemu fulani, au unaambiwa ufuatilie jambo fulani ukidhani ni kitu cha kawaida
Kumbe taarifa unazokusanya zinapelekwa mahali pengine na kutumika kwa malengo ambayo wewe huyajui
Sasa unawezaje kutambua kua unatumika kufanya ujasusi au unafanywa kua chanzo cha taarifa
Ni dalili zipi ukiziona ujue hapa kuna namna natumika kufanya Ujasusi
Swali la nyongeza ikiwa kweli mtu huyo anatumika kuafanya ujasusi hata kama mwenyewe hatambui
Je huyo ni jasusi au ni chanzo cha taarifa ?
Chombezo Dar es Salaam ni nyeusi angani β«οΈ
ShesRise_1 βοΈ
Inakuwaje pale unapokutana nao Nao unashiriki Mambo fulani alafu tukio fulani heavy linatokea , kwakuwa unafanya pattern recognition, You are good at unakuja kuunganisha dots unagundua kuwa wewe ndiye ukiyemfungulia mlango KipepeoHii ishanitokea kipindi cha zamani kidogo, kilichokuwa kinasaidia nilikuwa sio muongeaji kabisa.
Mtu mkubwa wa mwaka 2040 de Gunner chukua hii
Pattern recognition ni muhimu,Sahihi, ndio maana kwenye ulimwengu wa sasa ujanja pekee ni kuwa na high emotional and situational intelligence.
Nafahamu wamaanisha nini.ili upate Idea, fatuta hii inaitwa operation sparrow utaelewa
Exactlysio tu kujibu maswali bila kujua, unaweza kufanya kabisa operation bila kujua kuwa hiyo operation wewe ndio umeifanya
Uko sahihi kabisa.Pattern recognition ni muhimu,
Systems thinking