Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nimekukubali kakaKuna vitu vinaitwa sunah
Havitolewi kila siku
Hapewi kila mtu
Anayepewa hupewa kwa sababu maalum
Anayepewa hupewa kwa matukio maalum hasa ya furaha
BTW hayo mambo ni hiari na siri ya wawili.. Yanaanzia chumbani na kuishia chumbani
sophy27 Kelsea Demi mmesikia maneno hayo kutoka kwa Mshana Jr
Kuna vitu vya faragha vinaitwa sunah. Uliza ni vitu gani hivyo. Nyie kazeni tu mtakuta mwana sio wenu