Je, unaweza kuwa na mwanaume ambaye muda wote anaomba kinyume na maumbile?

🤣🤣🤣Kuna mautundu mwanamume akipewa lazima uumshike
Wewe umeshikika wapi rafiki.... unataka kusema hujawahi pewa liutundu lolote.....? Acheni kuwamanipulate wanawake wenye uelewa mdogo... Mwanaume hawezi ridhika sababu umempa ngono ya aina fulani. Anaridhika "akichagua" kuridhika kuwa huyu ndiye hata kama ni gogo kama mimi hapa! 😂
 
Mimi huwa Sina hayo mambo ya kueleteana maneno machafu kwenye mitandao pole sana tujifunze kuheshimiana
Maneno machafu yapi sasa!, kama uzi unaeleza kuhusu kuliwa marinda na wewe ulikomenti hapo, sasa nami nilichangia sasa mambo machafu yako wapi!

Basi tumlaumu mleta uzi😅.
Meaning no offense.
 
Kuna vitu ni tunu kwenye mahusiano
. Kufinyiana kwa ndani
. kupeana style maalum
. kutunukiana vitu adimu
Iko njia ionekanayo kuwa sawa machon pa mtu..ila mwisho wake..Mith 14 Neno la Mungu haliongopi. Mimi si malaika..ninamkosea Mungu sana lakin jambo kama si sawa tukumbushane kwa upole..na busara. Mungu aturehemu maana ingali bado tuko hai I never know. Am not judging anyone anaekosea ila siku ukikaa ukaona si sawa rejea kwenye hii post. Mungu atusaidie kuishinda dhambi.
 
Maneno machafu yapi sasa!, kama uzi unaeleza kuhusu kuliwa marinda na wewe ulikomenti hapo, sasa nami nilichangia sasa mambo machafu yako wapi!

Basi tumlaumu mleta uzi😅.
Meaning no offense.
Na wew unaliwa marinda maana uko hapa??
 
Kabisa kipenzi
 
Mkuu, siku hizi ukishakuwa mtu wa kubadilisha partners mara kwa mara ni lazima siku moja utaangukia kwa muomba tigo, piga ua kati ya wanaume watano utakaokutana nao lazima mmoja atakuomba huo mchezo, regardless ya vile unavyojiweka. Watu wanaangalia picha za ngono sana siku hizi, sio me wala ke watu wanataka kujifunza kila wanachokiona hivyo unaweza kujiweka wa namna fulani, lakini ukashangaa mwamba kakugeuza anaanza kulengesha...
 
Vitu adimu kama vipi??
Ambavyo hamuwezi kufanya mara kwa mara bali kwa matukio maalum tuu na si lazima iwe kama fikra za wengi wanavyowaza
Kwa mfano cha kwenye sink bafuni huku maji yanatirika[emoji1787]
 
Inaelekea ukimjibu unamjibu kwa kumchekea huyo ndo mana anarudia rudia.
Muhuni akikuamulia huchomoi utashangaa tu tayari kashafanya yake, ila basi tu hio michezo ni ya wahuni na mabinti wengi now days wanapenda sana kua kwenye mahusiano na wahuni acha waliwe nyuma kwa sababu nyuma ndipo walipoiweka future yao,

Sasa sijamuelewa mleta mada hii chai mboni tangawizi imekolea sana kuliko amdalasini na iriki?
 
🤣🤣🤣Kuna mautundu mwanamume akipewa lazima uumshike
Kumshika kivipi?🤣🤣🤣
Atarudi tena kufurahia mautamu lakini haimaanishi kwamba utakuwa kipenzi chake kwenye mambo mengine.
Utabaki kuwa starehe yake baas....na mwingine hata kuhonga hakuhongi.
 
Mkuu, hem kuwa muelewa basi, mshana amejaribu sana kuelezea..sijui kwa nini umekaza fuvu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂Sie ndo la Saba B a.k.a back benchers😂
 
Ulikataa kwani inaotaga shambani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…