Jumannnne
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 667
- 2,009
Kila naposoma nagunduwa wengi wanaopinga na kuanzisha hizi topic ndo michezo yao mana wanavyotowa onyo ni kama vile wana experience kubwa sana, we rudia tu kusoma mchango wa kila mmoja utuone wana ponografia wabobevu sio wanawake wala wanaume wengi mamende.