Waoneshe thamani kuwa wanafaa kusimamia biashara yako, watakulipa trust me.Nimekupata Boss, wasiwasi wangu ukizubaa kidogo muhudumu ananufaika na wewe mwenyemali unakuta unakufa kwa stress za marejesho ya Mkopo
Shukrani boss, ingawa idea ya CCTV baadhi wanasema inaweza kukimbiza wateja wakijua kuna Camera wanaweza wasirudi. Si unajua wengine huja kuiba na kuondokaLazima uwe na system inayoweza kufanya monitoring ya kuingia na kutoka kwa wateja, CCTV, milango, check-in/out etc. enzi zangu ningekuandikia proposal kabisa ya mfumo ila vijana wapo humu wanaweza kufanya design na implementation ya mfumo kama huo
Ahsante mkuu, ukimpata nishtue usipompata pia utaniambia nikutumie kijana kufanya popote ulipoShukrani Mkuu, nitakutafuta nikifanikiwa kuwasiliana naye kuhusu hili kama atakuwa amebobea humo
Asante kwa observation yako, barikiwa sana Mkuu.mfano mzuri kama mwenyeji wa dar ata kama sio dar fuatilia yule kalito wa samaki samaki anavotreat na kuishi na wahudumu wake kuna kitu huwa najifunza kwake , sijawahi kwenda samak mhudumu ukampa pesa inayobaki change wakakuzungusha ila nenda pengine uone ....
๐๐ฃ๐จ๐จ ๐ง๐ข๐ค๐ฎ๐ฎ๐ณ๐ข๐ ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐๐ ๐ฒ๐ ๐ ๐ฎ๐๐ฌ๐ญ ๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ข๐ฉ๐จ ๐ฃ๐ข๐ฃ๐ข๐ง๐ข ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐ณ๐Wakuu, habari za muda huu?
Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako?
Kwahiyo huenda malipo duni yakachangia kwa kiasi kikubwa kuibiwa??
Rafiki yangu anasema alikuwa anamlipa shilingi 250,000 Muhudumu na shilingi 100,000 aliyekuwa anafanya usafi wa Chumba na mashuka
Mkuu shukrani kwa offer yako.๐๐ฃ๐จ๐จ ๐ง๐ข๐ค๐ฎ๐ฎ๐ณ๐ข๐ ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐๐ ๐ฒ๐ ๐ ๐ฎ๐๐ฌ๐ญ ๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ข๐ฉ๐จ ๐ฃ๐ข๐ฃ๐ข๐ง๐ข ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐ณ๐
๐ข๐ง๐ ๐ฏ๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐๐ 11 ๐ฏ๐ฒ๐จ๐ญ๐ ๐ง๐ข ๐ฌ๐๐ฅ๐ ๐๐จ๐ง๐ญ๐๐ข๐ง๐๐.
๐ข๐ง๐๐ก๐ข๐ญ๐๐ฃ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฆ๐๐ฅ๐ข๐ณ๐ข๐ฐ๐ ๐ญ๐ฎ ๐๐ฅ๐จ๐จ๐ซ ๐ง๐ ๐ฌ๐๐ก๐๐ฆ๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ง๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ง๐ฃ๐ ๐ก๐๐ค๐ฎ๐ฃ๐๐ค๐๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ ๐ฏ๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข
๐๐๐ข ๐๐ฅ๐๐ค๐๐ณ๐ข ๐ง๐ข ๐๐ฌ๐ก๐ฌ ๐ฆ๐ข๐ฅ 75
Yes ndo point yangu kubwa, upendo na urafiki utakaowaonesha ndo watakaounesha kwa wateja..Asante kwa observation yako, barikiwa sana Mkuu.
Nadhani ishu ya Customer care na yenyewe ni muhimu kwa wateja kama sijakupa uzuri. Umfanye mteja kesho arudi kwa huduma atakayopata akija
Kwakuwa ndiyo nataka kuanza, hapa tayari pana Lodges za kutosha jirani. Ila ili kuvutia wateja zaidi nataka kuwapa offer bodaboda na Bajaj kila atakayeleta mteja nampa shilingi 1,000. Lengo ningependa nianze kujaza Mimi kwanza ndiyo wengine wafuatie.yes ndo point yangu kubwa, upendo na urafiki utakaowaonesha ndo watakaounesha kwa wateja..
Naamini kuna hata hidden CCTV(wasi wasi wangu ni kisheria imekaaje) ikiwekwa sehemu kama mapokezi unauwezo wa kujua idadi ya wanoingia kwenye vyumba, hizi system za milango kuna uwezekano kabisa wa kutumia hata kadi kufungulia mlango, mfanya usafi yeye anakuwa na kadi yake maalum.Shukrani boss, ingawa idea ya CCTV baadhi wanasema inaweza kukimbiza wateja wakijua kuna Camera wanaweza wasirudi. Si unajua wengine huja kuiba na kuondoka
Hiyo ni mbinu nzuri ya kuongeza wateja....Kwakuwa ndiyo nataka kuanza, hapa tayari pana Lodges za kutosha jirani. Ila ili kuvutia wateja zaidi nataka kuwapa offer bodaboda na Bajaj kila atakayeleta mteja nampa shilingi 1,00. Lengo ningependa nianze kujaza Mimi kwanza ndiyo wengine wafuatie
๐๐ฌ๐๐ง๐ญ๐ ๐ฌ๐๐ง๐. ๐๐ข๐ข ๐ฌ๐ข๐ฒ๐จ ๐ฒ๐๐ง๐ ๐ฎ ๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ง๐๐ข๐ญ๐๐ง๐ ๐๐ณ๐ ๐ญ๐ฎ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐๐๐ฅ๐๐ฅ๐ข.Mkuu shukrani kwa offer yako.
Mimi ndiyo nataka kuanza biashara hii, na tayari nina vyumba 10 saivi nafanya finishing ili nianze biashara. Niombee nifanikiwe nije kununua na yako ya Mwanza
Ni kweli Mkuu, wakati mwingine wasiwasi wako ndiyo faida yako pia. Imagine una deni la Benki, hapo lazima uwe macho masaa 24 kufatiliaNaamini kuna hata hidden CCTV(wasi wasi wangu ni kisheria imekaaje) ikiwekwa sehemu kama mapokezi unauwezo wa kujua idadi ya wanoingia kwenye vyumba, hizi system za milango kuna uwezekano kabisa wa kutumia hata kadi kufungulia mlango, mfanya usafi yeye anakuwa na kadi yake maalum.
Kadi ya mteja ikitumika kufungua mlango hapo inakuwa inahesabika ni hela imeingia + ushahidi wa camera unakuwa umemaliza mchezo.
Katika biashara yoyote ambayo unakuwa mbali nayo ni muhimu kuwa na imani na uliyemuajiri ili kupata amani ya moyo, ila ni muhimu zaidi kuamini umemuajiri mwizi !
Shukrani kwa sasa Mkuu๐๐ฌ๐๐ง๐ญ๐ ๐ฌ๐๐ง๐. ๐๐ข๐ข ๐ฌ๐ข๐ฒ๐จ ๐ฒ๐๐ง๐ ๐ฎ ๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ง๐๐ข๐ญ๐๐ง๐ ๐๐ณ๐ ๐ญ๐ฎ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐๐๐ฅ๐๐ฅ๐ข.
๐๐ข๐ฉ๐ข ๐ฎ๐ง๐๐ฉ๐๐ญ๐ข๐ค๐๐ง๐ ๐ฐ๐๐ฉ๐ข?
Funga camera unaona wateja wako wote popote ulipoWakuu, habari za muda huu?
Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako?
Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika kupata hasara na hatimaye Lodge yake kupigwa mnada na Benki aliyokopa kwa kushindwa kufanya marejesho ya mkopo wake.
Ninatamani kwa dhati ya moyo wangu, niingie kwenye hii biashara hasa baada ya kuona inaweza kunilipa mapema gharama nilizotumia kuinvest kuliko nyumba ya kupangisha ambayo nitahitaji kusubiri zaidi ya miaka 15 kurudi.
Naomba tupeane abc wale ambao wamewahi kufanya biashara ya Lodges, Guest Houses. Watu wa Hotels pia mnaweza kunipa mwanga wa nini nifanye kuweza kufanya biashara hii kwa mafanikio.