Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu hzi nyumba za wageni sehemu nyingi huwa zinatumiwa pia na wenyeji kama maficho ya kuvunja mojawapo ya amri za kwenye msaafu. Sasa hzo kamera za kufocus milango ya vyumba huoni kwamba ni hatari kwa usalama wa wachepukaji na biashara yenyewe pia.achana na mambo ya kutengeneza 'urafiki' hakuna kitu hapo, atakupiga tu, binadam haturidhiki
muhimu ni CCTv Camera, iweke mapokezi itazame mlango ( vizuri ikawa hidden )
Kwa mawazo yaliyokwisha tolewa hapa, seems hizo camera zikikaa wazi na watu wakaona italeta shida, hivyo wameshauri ziwe hidden one.Ndugu yangu hzi nyumba za wageni sehemu nyingi huwa zinatumiwa pia na wenyeji kama maficho ya kuvunja mojawapo ya amri za kwenye msaafu. Sasa hzo kamera za kufocus milango ya vyumba huoni kwamba ni hatari kwa usalama wa wachepukaji na biashara yenyewe pia.
Usimbanie kupiga hela, weka rates ambazo nae atapata hela sio unakaba mpaka show time na ikiwezekana unaweza mpa offer siku moja katika week chumba kimoja nae apate chochote kitu!Asante kwa ushauri wako Boss.
Natakiwa nifanyaje ili Mhudumu aipende kazi yake na aione kama yake wakati huo Mimi napata hela yangu kama kawaida?
Kwahiyo inahitaji muda wa mmiliki kwa asilimia 100?Asikwambie mtu tunaofanya biashara hii tunaonekana hamnazo sana, huezi amini hata msosi unakukuta humo ndani, huwezi toka labda vyumba vjae. Hao wafanyakazi ndo balaa hawana msalia mtume some tym upo hapo wanakupga hawajali, ukifunga camera na biashara inajifunga. Ukweli hii biashara inahitaji uwepo 99% ufatiliaji usafi, mapato na usalama kwa ujumla.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Kumpa room moja naye apige hela mbona mtihani, ingawa najua zile za short time atakuwa anazipiga si niko mbaliUsimbanie kupiga hela, weka rates ambazo nae atapata hela sio unakaba mpaka show time na ikiwezekana unaweza mpa offer siku moja katika week chumba kimoja nae apate chochote kitu!
Shida ya hii biashara ni location nzuri na usafi! Pakishajulikana tu unapiga hela bila stress!
Sasa Camera ikiwepo hapo nani anakuja kwenye guest yenye cameraz? Kuibiwa kwenye biashara ni kawaida ila ndio maana mwanzoni watu wanashauriwa kusimamia biashara uone muitiko ukoje! Ikiwa ume master mzunguko wa wateja hasa weekends ndio wanakujaga wengi utajua unaweza kumdai shilingi ngapi msimamizi wako!Ushauri pamoja na kuwa na mhudumu mwaminifu hakikisha tehama inachukua nafasi pia inaweza kulinda mapato yako kwa asilimia 90%
Ni incentive tu...Kumpa room moja naye apige hela mbona mtihani, ingawa najua zile za short time atakuwa anazipiga si niko mbali
Unakuta unaambiwa wamelala wateja 4 kumbe vyumba vyote vimejaa 🙆
Hata kwenye kamera sipo huko mkuu Ila Kuna visystm vizuri mno tunaviona huku ubeberuni vinatumika sana kwenye mageto ya kupangishaSasa Camera ikiwepo hapo nani anakuja kwenye guest yenye cameraz? Kuibiwa kwenye biashara ni kawaida ila ndio maana mwanzoni watu wanashauriwa kusimamia biashara uone muitiko ukoje! Ikiwa ume master mzunguko wa wateja hasa weekends ndio wanakujaga wengi utajua unaweza kumdai shilingi ngapi msimamizi wako!
Mfano pale unaweza mdai labda laki 4 kila week tokana na mzunguko wako! Yani lazma ukabe tu maana wengine ni wezi anataka akupige hela kama nyumba yake! Unakuta mnaenda pasu kauza vyumba vitano ila anakupa 70 na yeye anaminya 70 huu ndio wizi sasa unaofelisha!
Duh jamaa nae alikuwa ndezi sana! Guest ya vyumba nane elfu arobaini kwa muda gani?Uko sahihi Boss,
Huyo jamaa angu alimwamini Mhudumu wake, kilichotokea Guest ya Vyumba 8 Dodoma analetewa shilingi 40,000 kwa siku eti wateja hakuna. Kuja kufanya uchunguzi, it was too late, Mkopo kashindwa kurejesha na Jamaa akapatwa na BP na Kisukari Juu.
Mashushushu nafikiri ndio safe way tena wawe wanakuja kama wateja nao 😅Hakuna mtz asiyempigaji trust me. Hata umwajili dada yako. Njia pekee ni kupandikiza mashushushu na hakikisha unamtrain vizuri na umweke kwenye safe category incase anything happens. Na umlipe bonus kwa kazi hio. Utakuwa unapewa info kabla jambo halijatokea then unachukua hatua. Mimi niliambiwa nyanya zote zimeungua na ukungu wakati mwezi ujao mtu niliyeingia nae ubia anatarajia kuvuna.
Nikasubiri ametafuta mteja, ametafuta watu wa kuvuna, na wamekubaliana siku ya kuvuna. Nikatimba huko huko hahahah hakuamini.
From there nikachukua mgao wangu nikasepa. Simple as that.
Hela ya show time lazma wale sema ni kuwapa condition tu kuwa mgawane pasu kwa pasu! Kama ni 20 basi wao wale 10K na si vinginevyo!Biashara nzuri.
Kikubwa upate wafanyakazi waamnifu ,ile design ya watu ambao hata wakiona mteja kasahahu simu wanitunza , watu ambao sio janja janja , tafuta kijana mmoja mtulivu anayejielewa hata kutoka mkoani ,
ukimlipa vizuri atapiga kazi vyema ukipata wawili ni vizuri ukawapangia ratiba nzuri ili wawe wanapata muda wa off kazi zisiwachoshe wakapoteza ufanisi.
Kikubwa upate waamninfu maana wengine unaweza kuwalipa vizuri na bado kila siku wakawa wanakupiga pesa za show time/wale wateja wasiolala!!
Alikuwa anafanya room 20,000 hiyo 40,000 manake vyumba 2 kati ya 8 ndiyo vyenye wateja. Kuja kufanya uchunguzi ilikuwa inajaza kila siku. kumbe alikuwa anaibiwaDuh jamaa nae alikuwa ndezi sana! Guest ya vyumba nane elfu arobaini kwa muda gani?
Kumbe inawezekana hii Chief?? Mara nyingi hela ya Short time inaliwa na Mhudumu, boss hapati hata MiaHela ya show time lazma wale sema ni kuwapa condition tu kuwa mgawane pasu kwa pasu! Kama ni 20 basi wao wale 10K na si vinginevyo!
Ndio unawekea condition hio kama ni mwaminifu atakuwekea, cha muhimu tafta mtoto wa kike ndio huwa wazuri kwa hii business!Kumbe inawezekana hii Chief?? Mara nyingi hela ya Short time inaliwa na Mhudumu, boss hapati hata Mia
Yahp akiambiwa vimejaa ana note au anaingia na kuona vingapi viko wazi anachagua chagua kisha anatokaIngawa najua Bodaboda ndiyo wazuri kwenye hili. Unamwambia aende kuulizia as if anataka kumpeleka mteja vile