Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unachosema ni sahihi kabisa, hakuna wa kumwamini even ndugu yako.Hakuna mtz asiyempigaji trust me. Hata umwajili dada yako. Njia pekee ni kupandikiza mashushushu na hakikisha unamtrain vizuri na umweke kwenye safe category incase anything happens. Na umlipe bonus kwa kazi hio. Utakuwa unapewa info kabla jambo halijatokea then unachukua hatua. Mimi niliambiwa nyanya zote zimeungua na ukungu wakati mwezi ujao mtu niliyeingia nae ubia anatarajia kuvuna.
Nikasubiri ametafuta mteja, ametafuta watu wa kuvuna, na wamekubaliana siku ya kuvuna. Nikatimba huko huko hahahah hakuamini.
From there nikachukua mgao wangu nikasepa. Simple as that.
Hahaha eti ubeberuniubeberuni
Sasa si tulikuwa tunawaita Mabeberu mkuu, au now tuwaite vipi Sasa maana wao kila kitu kinaanzia kwao mkuuhahaha eti ubeberuni
Alafu mkuu Nina maongezi na wewe sijui utaniruhusu nije sebuleni?hahaha eti ubeberuni
Noma sanaMkuu unachosema ni sahihi kabisa, hakuna wa kumwamini even ndugu yako.
Case yako imenikumbusha jamaa mmoja alimweka ndugu yake kwenye ka Mgodi kake, siku wanapeleka mzigo Illusion kwa ajili ya kuufanyia process za kuchenjua dhahabu mwisho wa siku jamaa akaambulia Dhahabu ya 70M alafu ndugu yake akamkuta na mzigo wa 127M. Imagine this, mtu anapiga hela nyingi kuliko wewe mwenye mali
Nimepokea ushauri Chief, hata hivyo siku za mwanzoni nitakaa mwenyewe angalau wiki 2 kupata uzoefu kidogo na kutatua baadhi ya changamoto.Teknolojia na kuiendesha biashara yako kama biashara nyingine kwa kumpa muhudumu wako maslahi stahiki na utu.
Wiki mbili chache.All the best.Nimepokea ushauri Chief, hata hivyo siku za mwanzoni nitakaa mwenyewe angalau wiki 2 kupata uzoefu kidogo na kutatua baadhi ya changamoto.
Mniombee kheri nifanikiwe, nitaleta mrejesho hapa siku moja.
Weka Door sensors kwa kila chumba pamoja bed sensors.Zitakupa movement za vyumba vyote na unaweza elewa kama una ibiwa mapema sana.Mtu anafuja mtaji wa mwenzie utasema wamesaidiana kuutafuta.
Hili nitacheki wataalam wa IT watanipa abc zake.Weka Door sensors kwa kila chumba pamoja bed sensors.Zitakupa movement za vyumba vyote na unaweza elewa kama una ibiwa mapema sana.
Mkuu hongera sana Mungu akupiganie..Ila biashara ya lodge haitaongeza kazi ya watu kuzini( kutoka nje ya ndoa)?Kwahiyo hata mwezi sio, ukishakaa kwa kipindi hicho utajua tu mwenendo wa biashara ulivyo na unaweza ku project mapato ghafi ya mradi
Mkuu,Mapato ghafi ni Rate ya chumba kwa siku times 30 times idadi ya vyumba.Shortime unamwambia kwamba atakeep 50% Kama Bonus.Ukitaka Supersale AtakuibiaKwahiyo hata mwezi sio, ukishakaa kwa kipindi hicho utajua tu mwenendo wa biashara ulivyo na unaweza ku project mapato ghafi ya mradi
Ndio Utajua.Ila ni kwa mtu mmoja kwa siku.Ukitaka hela za short time mkuu utahangaika sana,Hizo lazima umweke mtumishi wako sawa.Hili nitacheki wataalam wa IT watanipa abc zake.
Kwahiyo mtu akilala kitandani hata kwa short time hata nikiwa Nanjilinji nitajua, hii imekaa safi sana 💪
Lengo Mama la Lodge na Guest house ni kuwapa wageni mahali pa kulala.Mkuu hongera sana Mungu akupiganie..Ila biashara ya lodge haitaongeza kazi ya watu kuzini( kutoka nje ya ndoa)?
Kuna mdau hapo juu alishauri kuweka mkakati wa kugawana na mhudumu pasu kwa pasu.Ndio Utajua.Ila ni kwa mtu mmoja kwa siku.Ukitaka hela za short time mkuu utahangaika sana,Hizo lazima umweke mtumishi wako sawa.
Hili nitazingatia, ili kuboresha huduma kwa wateja nitatoa limited wi-fi bure Pamoja na chai ya slice mbili na angalu yai 1Mkuu,Mapato ghafi ni Rate ya chumba kwa siku times 30 times idadi ya vyumba.Shortime unamwambia kwamba atakeep 50% Kama Bonus.Ukitaka Supersale Atakuibia