Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

Nimekupata Boss, wasiwasi wangu ukizubaa kidogo muhudumu ananufaika na wewe mwenyemali unakuta unakufa kwa stress za marejesho ya Mkopo
Waoneshe thamani kuwa wanafaa kusimamia biashara yako, watakulipa trust me.
 
Lazima uwe na system inayoweza kufanya monitoring ya kuingia na kutoka kwa wateja, CCTV, milango, check-in/out etc. enzi zangu ningekuandikia proposal kabisa ya mfumo ila vijana wapo humu wanaweza kufanya design na implementation ya mfumo kama huo
Shukrani boss, ingawa idea ya CCTV baadhi wanasema inaweza kukimbiza wateja wakijua kuna Camera wanaweza wasirudi. Si unajua wengine huja kuiba na kuondoka
 
waoneshe thamani kuwa wanafaa kusimamia biashara yako , watakulipa trust me
Shukrani Boss kwa ushauri, nitareja mrejesho siku moja hapa
 
Mfano mzuri kama mwenyeji wa dar ata kama sio dar fuatilia yule kalito wa samaki samaki anavotreat na kuishi na wahudumu wake kuna kitu huwa najifunza kwake, sijawahi kwenda samak mhudumu ukampa pesa inayobaki change wakakuzungusha ila nenda pengine uone ....
 
mfano mzuri kama mwenyeji wa dar ata kama sio dar fuatilia yule kalito wa samaki samaki anavotreat na kuishi na wahudumu wake kuna kitu huwa najifunza kwake , sijawahi kwenda samak mhudumu ukampa pesa inayobaki change wakakuzungusha ila nenda pengine uone ....
Asante kwa observation yako, barikiwa sana Mkuu.

Nadhani ishu ya Customer care na yenyewe ni muhimu kwa wateja kama sijakupa uzuri. Umfanye mteja kesho arudi kwa huduma atakayopata akija
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wakuu, habari za muda huu?

Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako?
𝐍𝐣𝐨𝐨 𝐧𝐢𝐤𝐮𝐮𝐳𝐢𝐞 𝐧𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚 𝐲𝐚 𝐠𝐮𝐞𝐬𝐭 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐢𝐩𝐨 𝐣𝐢𝐣𝐢𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐳𝐚

I𝐧𝐚 𝐯𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚 11 𝐯𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐧𝐢 𝐬𝐞𝐥𝐟 𝐜𝐨𝐧𝐭𝐚𝐢𝐧𝐞𝐝.

I𝐧𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐤𝐮𝐦𝐚𝐥𝐢𝐳𝐢𝐰𝐚 𝐭𝐮 𝐟𝐥𝐨𝐨𝐫 𝐧𝐚 𝐬𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐧𝐣𝐞 𝐡𝐚𝐤𝐮𝐣𝐚𝐤𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐤𝐚 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢

B𝐞𝐢 𝐞𝐥𝐞𝐤𝐞𝐳𝐢 𝐧𝐢 𝐓𝐬𝐡𝐬 𝐦𝐢𝐥 75
 
Naam kuwaminya kwenye mshahara ni chanzo kikubwa cha kukuibia. Kama unaweza hata kuwaongezea 50K wote si mbaya.

Kwahiyo huenda malipo duni yakachangia kwa kiasi kikubwa kuibiwa??

Rafiki yangu anasema alikuwa anamlipa shilingi 250,000 Muhudumu na shilingi 100,000 aliyekuwa anafanya usafi wa Chumba na mashuka
 
𝐍𝐣𝐨𝐨 𝐧𝐢𝐤𝐮𝐮𝐳𝐢𝐞 𝐧𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚 𝐲𝐚 𝐠𝐮𝐞𝐬𝐭 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐢𝐩𝐨 𝐣𝐢𝐣𝐢𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐳𝐚

𝐢𝐧𝐚 𝐯𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚 11 𝐯𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐧𝐢 𝐬𝐞𝐥𝐟 𝐜𝐨𝐧𝐭𝐚𝐢𝐧𝐞𝐝.

𝐢𝐧𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐤𝐮𝐦𝐚𝐥𝐢𝐳𝐢𝐰𝐚 𝐭𝐮 𝐟𝐥𝐨𝐨𝐫 𝐧𝐚 𝐬𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐧𝐣𝐞 𝐡𝐚𝐤𝐮𝐣𝐚𝐤𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐤𝐚 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢

𝐛𝐞𝐢 𝐞𝐥𝐞𝐤𝐞𝐳𝐢 𝐧𝐢 𝐓𝐬𝐡𝐬 𝐦𝐢𝐥 75
Mkuu shukrani kwa offer yako.

Mimi ndiyo nataka kuanza biashara hii, na tayari nina vyumba 10 saivi nafanya finishing ili nianze biashara. Niombee nifanikiwe nije kununua na yako ya Mwanza
 
Asante kwa observation yako, barikiwa sana Mkuu.

Nadhani ishu ya Customer care na yenyewe ni muhimu kwa wateja kama sijakupa uzuri. Umfanye mteja kesho arudi kwa huduma atakayopata akija
Yes ndo point yangu kubwa, upendo na urafiki utakaowaonesha ndo watakaounesha kwa wateja..
 
yes ndo point yangu kubwa, upendo na urafiki utakaowaonesha ndo watakaounesha kwa wateja..
Kwakuwa ndiyo nataka kuanza, hapa tayari pana Lodges za kutosha jirani. Ila ili kuvutia wateja zaidi nataka kuwapa offer bodaboda na Bajaj kila atakayeleta mteja nampa shilingi 1,000. Lengo ningependa nianze kujaza Mimi kwanza ndiyo wengine wafuatie.

Hii unaiyonaje Mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Shukrani boss, ingawa idea ya CCTV baadhi wanasema inaweza kukimbiza wateja wakijua kuna Camera wanaweza wasirudi. Si unajua wengine huja kuiba na kuondoka
Naamini kuna hata hidden CCTV(wasi wasi wangu ni kisheria imekaaje) ikiwekwa sehemu kama mapokezi unauwezo wa kujua idadi ya wanoingia kwenye vyumba, hizi system za milango kuna uwezekano kabisa wa kutumia hata kadi kufungulia mlango, mfanya usafi yeye anakuwa na kadi yake maalum.

Kadi ya mteja ikitumika kufungua mlango hapo inakuwa inahesabika ni hela imeingia + ushahidi wa camera unakuwa umemaliza mchezo.

Katika biashara yoyote ambayo unakuwa mbali nayo ni muhimu kuwa na imani na uliyemuajiri ili kupata amani ya moyo, ila ni muhimu zaidi kuamini umemuajiri mwizi!
 
Kwakuwa ndiyo nataka kuanza, hapa tayari pana Lodges za kutosha jirani. Ila ili kuvutia wateja zaidi nataka kuwapa offer bodaboda na Bajaj kila atakayeleta mteja nampa shilingi 1,00. Lengo ningependa nianze kujaza Mimi kwanza ndiyo wengine wafuatie
Hiyo ni mbinu nzuri ya kuongeza wateja....
 
Mkuu shukrani kwa offer yako.

Mimi ndiyo nataka kuanza biashara hii, na tayari nina vyumba 10 saivi nafanya finishing ili nianze biashara. Niombee nifanikiwe nije kununua na yako ya Mwanza
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐬𝐚𝐧𝐚. 𝐇𝐢𝐢 𝐬𝐢𝐲𝐨 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐦𝐤𝐮𝐮 𝐧𝐚𝐢𝐭𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐚 𝐭𝐮 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐝𝐚𝐥𝐚𝐥𝐢.

𝐕𝐢𝐩𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐩𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐩𝐢?
 
Naamini kuna hata hidden CCTV(wasi wasi wangu ni kisheria imekaaje) ikiwekwa sehemu kama mapokezi unauwezo wa kujua idadi ya wanoingia kwenye vyumba, hizi system za milango kuna uwezekano kabisa wa kutumia hata kadi kufungulia mlango, mfanya usafi yeye anakuwa na kadi yake maalum.

Kadi ya mteja ikitumika kufungua mlango hapo inakuwa inahesabika ni hela imeingia + ushahidi wa camera unakuwa umemaliza mchezo.

Katika biashara yoyote ambayo unakuwa mbali nayo ni muhimu kuwa na imani na uliyemuajiri ili kupata amani ya moyo, ila ni muhimu zaidi kuamini umemuajiri mwizi !
Ni kweli Mkuu, wakati mwingine wasiwasi wako ndiyo faida yako pia. Imagine una deni la Benki, hapo lazima uwe macho masaa 24 kufatilia
 
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐬𝐚𝐧𝐚. 𝐇𝐢𝐢 𝐬𝐢𝐲𝐨 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐦𝐤𝐮𝐮 𝐧𝐚𝐢𝐭𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐚 𝐭𝐮 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐝𝐚𝐥𝐚𝐥𝐢.

𝐕𝐢𝐩𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐩𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐩𝐢?
Shukrani kwa sasa Mkuu
 
Wakuu, habari za muda huu?

Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako?

Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika kupata hasara na hatimaye Lodge yake kupigwa mnada na Benki aliyokopa kwa kushindwa kufanya marejesho ya mkopo wake.

Ninatamani kwa dhati ya moyo wangu, niingie kwenye hii biashara hasa baada ya kuona inaweza kunilipa mapema gharama nilizotumia kuinvest kuliko nyumba ya kupangisha ambayo nitahitaji kusubiri zaidi ya miaka 15 kurudi.

Naomba tupeane abc wale ambao wamewahi kufanya biashara ya Lodges, Guest Houses. Watu wa Hotels pia mnaweza kunipa mwanga wa nini nifanye kuweza kufanya biashara hii kwa mafanikio.
Funga camera unaona wateja wako wote popote ulipo
 
Back
Top Bottom