Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
Sina mbavu mieLengo Mama la Lodge na Guest house ni kuwapa wageni mahali pa kulala.
Hilo watu kuzini ni matokeo ya wenyeji kujigeuza wageni ππ
Hata hivyo wenyeji hutupa hela nyingi za short time π
Hapo sawaHili nitazingatia, ili kuboresha huduma kwa wateja nitatoa limited wi-fi bure Pamoja na chai ya slice mbili na angalu yai 1
Haha hahaha Ila usisahau kuniita kuja kufanya uchawi wa mzungu usiibiwe sanaMkuu ndiyo hali halisi, muhimu nitaweka escaping door angalau 3 ya watu kukimbia fumanizi in case likatokea π
πππππMkuu ndiyo hali halisi, muhimu nitaweka escaping door angalau 3 ya watu kukimbia fumanizi in case likatokea π
UsijaliUsijali boss, nitakuita kwenye hili najua mambo yangu yatanyooka π
Ameen napiga kabisa na maombi Mungu ashushe baraka za watejaUkija nitakupa offer ulale siku 3 Bureπ
Ni biashara nzuri ila inategemea pia umejenga wapi penye wateja
Kazi yoyote ile ili aipende mfanya kazi mlipe vizuri.Biashara yoyote ikikosa mhudumu mwaminifu lazima ikufe ... kuna vitu vidogo vidogo vya kumfanya anayesimamia biashara yako aipende na kuiona kuwa yake na wewe kukuletea faida japo wengi wanapenda kuweka mstari wa utofauti kati ya boss na mwajiriwa