kitu kingine ndugu
tang'ana kazi hii huipati kwa kuitaka mpaka wao wakutake wenyewe.
....aidha ukiwa chuo, jkt, vyuo vya ufundi, etc au kwenye gym flan wale trainers au afisa anaweza kukuona uko na vitu flan amazing then aka ku sport ( kukupendekeza)
...baada ya hapo utafanyiwa uchunguz wako na familia yako na rafik zako
...wakijiridhisha uko vizur wanakuchukua na kukupa mafunzo
.
wakiona huwafai bas unabaki
unaweza bahatika kupitia stage zote but mwishon ukawa na dosar ndogo tu ukaachwa
...
hivyo ni bahati na mpango wa mungu
...unles una ndugu ambae ni kigogo kwenye idara unaweza mwambia nataka kisha akakufanyia mpango
...ni hayo tu
...ngoja nikapike
tutaonana ktk majukwaa mengine naomba niishie hapa kwenye mada hii.