C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
Mkuu usimuamini La Brujita, ameamua kufurahisha genge tu.
basi niunganishe mtu yeyote wa system nimuoe hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usimuamini La Brujita, ameamua kufurahisha genge tu.
Yeah nifah napenda utani kuliko kitu chochote duniani. Upo poa lakini? Haya pumzika sasa ukiweke sawa kinaniliu mzee alime shamba.
basi niunganishe mtu yeyote wa system nimuoe hahaha
AVATAR yako na jinsi ulivyojibu umejidhihirisha who r u!!! , msalimie huyo mama CHAUDELE mwambie kahawa chungu bila kashata hainogi.
au ndio wale wakina wannabe?Ha ha haaaa, watu wa usalama wapo kwa ajili ya ujenzi wa nchi. Acha woga, zote ni kazi tu sema majukumu yanatofautiana. Mie si mmoja wao, ni just a commoner bro
Huo mtihani sasa mkuu....
Muombe huyo La Brujita kama uko serious maana anaonekana kuwa na ukaribu na hao watu wa idarani.
Nina ukaribu sana na wa Rwanda na Uganda ila wa hapa kwenu Tanzania nawasikia tu kupitia watu wa vijiweni huku wengine nikiishia kuwaona tu ktk picha hivyo nifah acha kumpa maelekezo huyo jamaa aje kwangu badala yake afanye tu utaratibu wa kuonana na hao wahusika wenyewe na bahati nzuri humu humu pia wamo na wanamwona hivyo asipate taabu watamtafuta tu. Karibu kwetu huku mkoani cyagungu nchini Rwanda unywe maziwa na asali.
nifah shemeji yangu viuno unamkatia saa ngapi? Wewe muda wote tupo tu online humu jf majukumu yako kama mke wa rafiki yangu mr. desh desh unayafanya saa ngapi? Yaani wewe nahisi hata akiwa anakushughulikia mawazo yako yote yapo jf. Hebu lala sasa tafadhali ebo! Mimi sipo dar huko kwenu sasa ni mwaka wa 2 na ya huko mengi siyajui zaidi tu ya kuyajua ya hapa mkoani kwangu cyagungu nchini Rwanda. Hivi na Tanzania nanyi mna usalama wa taifa? Mimi nilijua mna jeshi tu peke yake na wale mgambo wa jiji. au mmetuiga sisi wanyarwanda?Unamdanganya nani sasa? Msaidie mwenzio bwana anataka mchuchu kutoka idarani huko.
Hata mfanyie mpango huko pm basi.
nifah shemeji yangu viuno unamkatia saa ngapi? Wewe muda wote tupo tu online humu jf majukumu yako kama mke wa rafiki yangu mr. desh desh unayafanya saa ngapi? Yaani wewe nahisi hata akiwa anakushughulikia mawazo yako yote yapo jf. Hebu lala sasa tafadhali ebo! Mimi sipo dar huko kwenu sasa ni mwaka wa 2 na ya huko mengi siyajui zaidi tu ya kuyajua ya hapa mkoani kwangu cyagungu nchini Rwanda. Hivi na Tanzania nanyi mna usalama wa taifa? Mimi nilijua mna jeshi tu peke yake na wale mgambo wa jiji. au mmetuiga sisi wanyarwanda?
Kamuulize Rais kama utashindwa kumuuliza kawatafute Usalama wa taifa uwaulize.
So what?