GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
ndio ukue sasa,acha mambo ya kitoto,wewe ndie ulie haribu huu uzi.
Salaam wakuu,
Kila rais duniani anakuwa na Walinzi wake maarufu kama bodigadi. Kama unakumbuka Gaddafi, yeye alikuwa na mabodigadi wa kike na inasemekana aliweza kutembea na walinzi wasiopungua 200.
Je, unazifahamu ni sifa zipi huhitajika ili kuwa mlinzi wa rais? Ni Mafunzo gani watu hawa muhimu huyapitia? Unajua ni kwa nini wengi wa walinzi hawa ni wa Jinsia ya kiume?
Rais wetu analindwa na majini ya sheh yahya Hussein
nifah shemeji yangu viuno unamkatia saa ngapi? Wewe muda wote tupo tu online humu jf majukumu yako kama mke wa rafiki yangu mr. desh desh unayafanya saa ngapi? Yaani wewe nahisi hata akiwa anakushughulikia mawazo yako yote yapo jf. Hebu lala sasa tafadhali ebo! Mimi sipo dar huko kwenu sasa ni mwaka wa 2 na ya huko mengi siyajui zaidi tu ya kuyajua ya hapa mkoani kwangu cyagungu nchini Rwanda. Hivi na Tanzania nanyi mna usalama wa taifa? Mimi nilijua mna jeshi tu peke yake na wale mgambo wa jiji. au mmetuiga sisi wanyarwanda?
Kuna mdau kaelezea vzr hasa kuhusu system ya kumlinda rais kupitia mfumo wa "cycle", kifupi the more u penetrate the cycle ndo more unakutana na majabari. Kumfikia rais in attacks ni kukikaribia kifo. Yes, u may kill the presdent hasa kupitia snipers hasa kwa uzembe fulani, au hata kwa poison but believe me, u will never survive longer na soon utakuwa detected then utapotea
Daaanh uko vizuri mkuu. . . . .Kwa hiyo hizo circles zina majukumu gani kuanzia ya nje mpaka ya ndani kabisa, nani anawapanga, nani anatoa amri wakiwa hapo kwa circles??!!!
kitu kingine ndugu tang'ana kazi hii huipati kwa kuitaka mpaka wao wakutake wenyewe.
....aidha ukiwa chuo, jkt, vyuo vya ufundi, etc au kwenye gym flan wale trainers au afisa anaweza kukuona uko na vitu flan amazing then aka ku sport ( kukupendekeza)
...baada ya hapo utafanyiwa uchunguz wako na familia yako na rafik zako
...wakijiridhisha uko vizur wanakuchukua na kukupa mafunzo
.
wakiona huwafai bas unabaki
unaweza bahatika kupitia stage zote but mwishon ukawa na dosar ndogo tu ukaachwa
...
hivyo ni bahati na mpango wa mungu
...unles una ndugu ambae ni kigogo kwenye idara unaweza mwambia nataka kisha akakufanyia mpango
...ni hayo tu
...ngoja nikapike
tutaonana ktk majukwaa mengine naomba niishie hapa kwenye mada hii.
Soma comments za wataalamu, ilishaelezwa na inaendelea kuelezwa vzr
Duuuuh!Ndio unaiangalia?Long time sana hiyo,sasa mimi naangalia The return of Iljimae.ntazipitia ila kwasasa naangalia kwanza bonge moja la series linaitwa jumong (kama lilivo jina lako) episode 4. ntarudi