Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

Duuuuh!Ndio unaiangalia?Long time sana hiyo,sasa mimi naangalia The return of Iljimae.
Ila Jumong ni bonge la series..
Na ubobezi wangu wote kwenye Korean series hiyo ndiyo the best series ever!

Series ingine nzuri ya kikorea ni Iris. Ka hujaicheki itafute
 
Ni lazima uwe mlinzi ktk idara ya usalama wa taifa....then miongoni mwao ndo hupata zari la kuchaguliwa na viongozi wao kuwa walinzi wa rais.....
Zari hajachaguliwa
 
Hii mada poa sana
Nakumbuka Barack Obama alivyokuja Tzn mie nilikuwa form4
Sasa tulichukuliwa kama wanafunzi wakwenda kumpokea Obama ikulu kule
Mie nikawa nime_concentrate kweny wale walinzi tuu (FBI) mwanzo mwishoooo

Ebwanaee wale ni viumbe makini sana
Nilimface mmoja wa FBI machoni nikaona kama macho yanafanana na camera
Mwingine ameganda sijui anaangalia nini? Ni sehemu moja tuu kabezi
Mwingine alikuwa mikono ya watu tuu muda wote, yaani ukimsalimia mkono Barack Obama hata sekunde tatu hazifiki kashakutoa mkono

Aisee nikajikuta najiita FBI ghafla, nikaipenda mikakati yao
Alafu cha kushangaza mwenyewe Barack Obama hata hana wasiwasi, aladansidansi, alichekacheka, ameenda hapa karudi pale....


Kingine narudi home nacheki taarifa ya habari ITV aisee nilichokionaaaa...
Dooooh barabara ya nyerere road ya airport RAIA wa kitanzania walitanda kando ya barabara kuangalia msafara wa Barack Obama kibaoooooo

Msafara ulikuwa sio wa kawaida aisee

Msafara wa Barack Obama ukiwa on motion kuna kitu kilianguka nazani ni kijani au kitakataka , ebwanaee FBI aliruka kutoka kwenye gari na kwenda kuangalia kunani kimetokea kumbe ni jani aisee (nenda YouTube andika msafara wa Barack Obama) utaona Sam mahela anavyotangaza hako katukio cha kijani..

Hawa ni viumbe wa high concentration
High skill
Physical fit
Educated
Scientists

Hata bongo nao wapo fiti asikwambie mtu
Mie nawachoraga sana aisee
Wameeenda hewani
Seriousness
Haloooo....
 
Awe amepitia mafunzo ya jeshi,bila kusahau yale ya special force.
awe timamu wa mwili,angalau na style zaidi ya moja za martial arts.
mwenye akili za kiinteligencia.
ngoja nikagoogle tena.
 
Safi mkuu
 
Ame ameshawahi kulinda maduka ya wakinga na wachaga kwa kipisi cha nondo kwa zaidi ya miaka 10 bila kupata muda wa kupumzika
 
hata ukiwa mwanajeshi wa nyota..utapochaguliwa kujiunga na kazi ya security ni lazima ufundishwe upyaaaaaaaa na utaanza na basic course so uanajeshi sio kigezo kabsaaaaaaa.
Kwa iyo General David Petraeus alivoteuliwa na Obama kuwa mkurugenzi wa cia alianza upya mafunzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…