- High Concetration Level
- Intelligent
- Versatile
- Maximum Endurance Level
- Educated Enough i.e. All Rounder / Knowledgeable Enough
- Physically Fit
- Loyalist
Hupata MAFUNZO Sawa Sawa Na Ya Special Force Namaanisha Commando Kisha Mbeleni Hugawanywa Na Kufanya VIP Protection Course Ambayo Na Yenyewe Ina STEPS Zake ( Ambazo Kimaadili Ya Fani Husika Nachelea Kuyaweka Hapa ) Na Kwanini Walinzi Wengi Ni Jinsia Ya KIUME Jibu Haliko Mbali Sana Na Uhalisia Wa Kimaumbile Na Baiolojia Ya Dada Zetu Na Sisi Wanaume Na Mara Nyingi Sana Mabodyguard Wengi Wa Kike Huwa Wanakuwa Wamesha Sacrifice Hata Kuja Kupata Watoto Hapo Baadae Kwani Kwa Aina Ya MAZOEZI Na UGUMU Wake Automatically Mayai Yao HUTOWEKA Na Hujikuta Pia Wana Adopt Tabia Za UGUMU, Maisha Na Uhalisia Wa Mwanaume Na Kuna Wakati Wanaweza Wakawa Wamekaa Na Ma Bodyguard Wa KIUME Lakini Ukiwaona Kama Huna UZOEFU Nao Ukashindwa Kuwatofautisha Kujua Mwanaume Pale Ni Yupi Na Mwanamke Ni Yupi. Mfano Mdogo Tu Angalia au Tafuta Picha Za Yule Dada Aliyekuwa MLINZI Wa Mke Wa Mkapa Halafu Chukua Na Picha Ya Yule Aliyekuwa ADC Wa Mkapa Afande Mzee Emanuel Simule Kisha Walinganishe Utaelewa Nilichokifafanua Hapa. Nadhani Kidogo Nimejaribu Kukujibu Na Ngoja Niwapishe Sasa Wenyewe WAKUJUZE Zaidi.