Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

GENTAMYCINE alias TISS wannabe, alias ma-ID mengi, alias POPOMA, alias sugu la kupigwa ban.:lol::lol:
CC La Brujita

Kama kweli ni sugu wa kupigwa ban humu basi huyu jamaa atakuwa kiboko. Natamani sana niwe kama yeye au nijifunze vitu fulani adimu ambavyo nimegundua anavyo. Hivi na hiyo id yake huwa ina maana gani mkuu kadoda11? Halafu wewe jamaa huyu mshkaji inaonekana labda ndiyo mumeo kwani unamjua na unamjulia sana hadi nafurahi ukiwa unacharurana nae. Vipi alikuoa lini? Umemzalia watoto wangapi? Anaonekana ni bwana mzuri mno kwako.
 
Last edited by a moderator:
Nini kirefu cha RSO?

Umri huo hujui rso ina maana gani sasa unafanya nini humu jf? Halafu wewe mshikaji nasikia eti wewe ni mjeda " mwanajeshi " sijui " usalama wa taifa " je ni kweli au kuna ukweli wowote? Kama ni kweli na swali ulilouliza napata mashaka sana na usalama wetu watanzania ambao nyie ndiyo mnaulinda.
 



Mkuu tupo pamoja hata mimi huyu jamaa yaani simpendi na nashukuru amepigwa ban kidogo ili humu patulie. Halafu kuhusu kuvijua vyuo ni kweli havijui kwani badala ya kuvitaja vyote kama cha mbweni, kile cha dodoma na zanzibar yeye kabakia kukitaja tu hicho kimoja. Kuhusu vitaarifa ni kweli yawezekana akawa yupo outdated na ndiyo maana ameongopa kuhusu mkuu wa psu mzee mashiba, ameongopa kuhusu akina mzee mombo na principal wandiba. Na kuhusu ethics hata mimi nakubaliana na wewe kuwa hana kwani hata bosi wake mkuu mwenyewe mkuu wa kitengo na yeye hana maadili hadi siri zake nyingi za kiidara zinavuja hovyo kwa sisi wana chadema na ukawa. Vile vile ni kweli yeye anajua security ni psu tu peke yake wakati kumbe kuna tiss ambayo ndiyo baba au mama wa idara nzima. Kiukweli hata mimi nasema shame on you Kilahunja.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaaa, haya popoma tumekusikia.
 
Last edited by a moderator:



Acha kukrem wewe, kwahyo Fred Maro nae ni PSU au TISS?
 
GENTAMYCINE aka La Brujita huna maadili, me nitakufunza kwa kuweka picha yako hapa jukwani kwanza na kutaja jina lako halisi.

teh teh teh!!,mbavu zangu.utasababisha akuibukie PM akubembeleze usifanye hivyo.
mkuu musolin,genta anafahamika vizuri tu.tayari soft copy ya jalada lake ipo kwenye laptop yangu.hata hivyo, kwa sababu fulani fulani,tusimu-expose,tumuache aendelee kufanya comedy zake hapa JF.besically huwa napata burudani ninapo soma comment zake.kitendo cha kumu-expose kitasababisha atoweke JF mazima mazima(pamoja na zile ID zake) na kupelekea kukosa burudani yake.

copy to La Brujita
 




Sawa mkuu, ngoja tumchukulie km mchekeshaji wetu tuu aliyetukuka.

cc: GENTAMYCINE aka La Brujita
 
Last edited by a moderator:

La Brujita aka Gentamyzin sijui mzinifu...sielewi hahaaaaa kwan ukiwa na ID moja hushibi
...ebu tulia uwanyonyeshe watoto na kuwaandalia chakula

...linda ndoa usije pewa talaka kama mwaka jana february
 
Last edited by a moderator:
GENTAMYCINE aka La Brujita huna maadili, me nitakufunza kwa kuweka picha yako hapa jukwani kwanza na kutaja jina lako halisi.

Simjui GENTAMYCINE ila najijua mwenyewe halafu ingekuwa ni bora zaidi kama kweli ungeweka hiyo picha na kutaja majina yake. Fanya hivyo upesi kama na wewe labda unadhani hujulikani ulipo kikazi, unapoishi na hujawahi kuwa na picha.
 
Last edited by a moderator:



Wala usimzuie mwambie aweke vitu hadharani na upande wa pili nao ufunguke humu. Hii michezo ya kupigana mikwara huwa naipenda mno na nimefurahi kama huyo Mussolin5 anataka kuanzisha vita ya kimtandao na mimi kwakuwa naturally i am a battle hardened general.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa, haya popoma tumekusikia.

Kuna mtu mmoja anajifanya ananijua sijui nilishambandua siku moja? Sasa nimemruhusu alianzishe na mimi nitalimaliza na namsubiri kwa hamu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…