Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Simjui GENTAMYCINE ila najijua mwenyewe halafu ingekuwa ni bora zaidi kama kweli ungeweka hiyo picha na kutaja majina yake. Fanya hivyo upesi kama na wewe labda unadhani hujulikani ulipo kikazi, unapoishi na hujawahi kuwa na picha.
Nasubiria umalize ban yako kwenye ile ID ya GENTAMYCINE niweke mambo hadhrani, sababu napenda watu jeuri kama wewe.
Kuna mtu mmoja anajifanya ananijua sijui nilishambandua siku moja? Sasa nimemruhusu alianzishe na mimi nitalimaliza na namsubiri kwa hamu mno.
Ayayayaaa, hii ligi imefika patamu kwelikweli. Naomba Mungu hayo matukio yasinipite maana mods hawakawii kufutilia mbali.
cc Mussolin5, La Brujita
Ayayayaaa, hii ligi imefika patamu kwelikweli. Naomba Mungu hayo matukio yasinipite maana mods hawakawii kufutilia mbali.
cc Mussolin5, La Brujita
Niko naisubiri hiyo movie kwa hamu kaka.
Naona kabisa itakuwa moto wa kuotea mbali. ...
hii inaweza kuwa ni zaidi ya ule mtanange wa miaka ya nyuma kati le mutuz na jamaa mmoja alikuwa anaenda kwa ID ya Kiranja."walisanuana live live hapa JF.ila ilikula zaidi kwa ndg. kiranja baada ya le mutuz aka le kubwa jingaz kuweka jina halisi la kiranja hadharani.tangia hapo,hakuonekana tena kutumia ile ID.:biggrin:
Tena uisubirie kwa hamu sana kwani alipogonga ni pabaya na kwa kuanzia tu ili nimwonyeshe kuwa huyo Mussolin5 wenu namjua kindakindaki nitaanza kuziweka namba zake zote hapa hadharani na kama haitatosha ili nimwonyeshe kuwa nimepikwa na nimepikika nitaweka na namba za mkewe na kuzidi kumwonyesha kuwa ni bwana mdogo ktk tasnia nitaweka hadharani picha za mkewe alivyokuwa akifanywa na bosi wake.Na mwambieni kuwa naomba vita hii isisimame kama ile ya waisrael na wapalestina huku huyo anayejifanya kumjua akiwa ni myahudi na yeye ni mpalestina. Nimezaliwa ktk vita na napenda vita na vita vimeanza rasmi.
hii inaweza kuwa ni zaidi ya ule mtanange wa miaka ya nyuma kati le mutuz na jamaa mmoja alikuwa anaenda kwa ID ya Kiranja."walisanuana live live hapa JF.ila ilikula zaidi kwa ndg. kiranja baada ya le mutuz aka le kubwa jingaz kuweka jina halisi la kiranja hadharani.tangia hapo,hakuonekana tena kutumia ile ID.:biggrin:
Ndiyo alianzishe sasa. Sina cha kupoteza na badala yake yeye ndiyo ataaibika na nitampoteza kimoja humu. Yeye apige kote ila mimi nitammaliza kwa huyo mkewe tu na najua itamuuma mno.
Hahahaaaaa, haya popoma tumekusikia.
Ajajajajaaaaa hakuna kitu ninachokipenda humu JF kama ligi tena nzito nzito kama hizi.
Can't wait kiukweli. ...
mimi ni mtu wa vitendo na wala si maneno mengi kama Mzee Yusuph, narudia tena nasubiria umalize ban yako ya Id ya GENTAMYCINE niweke mambo hadharani. Over
Na kwakuwa ameshasema kuwa id zote mbili za GENTAMYCINE na @LaBrujita ni za mtu mmoja hivyo hana haja ya kusubiri hadi hiyo nyingine anayosema kuwa imepigwa ban ifunguliwe na badala yake anaweza tu akalianzisha hata kupitia id hii hii ili vita vya kimtandao vya mimi na yeye vianze. Mpenda vita muda wowote huwa anakuwa tayari kama askari wa kinyarwanda na kiyahudi.
mimi ni mtu wa vitendo na wala si maneno mengi kama Mzee Yusuph, narudia tena nasubiria umalize ban yako ya Id ya GENTAMYCINE niweke mambo hadharani. Over
Sitii neno hapa
Mie nipo nafuatilia mtanange mkali zaidi ya uchaguzi mkuu maana kwenye siasa upande mmoja hauna nguvu ila hapa wafalme wa 'hizi kazi' wamekutana.
Hahahaaaaa hii siku ya leo mbona imekua mcharo hivi?
Ngoja niandae juice na popcorn kabisa maana hii vita ni kali sana.
Wote mnatambiana hadi mnatisha, lazima mwisho tuone nani master mind tumpe heshima zake.
Unaweza ukaanzia na hapa pia rukhsa halafu uone na mimi nitakavyoachanisha ndoa yako na ya huyo mkeo na hadi mipicha yake ya alivyokuwa anafanywa nitaitupia humu ili nikuonyeshe kuwa wewe kwangu bado sana ktk medani zote.