Je, upangaji wa matokeo bado ni changamoto ligi ya championship?

Je, upangaji wa matokeo bado ni changamoto ligi ya championship?

Pamba anahujumiwa na tff
Kitayose mshindani wako pamoja uthibitisho kuwa alipanga matokeo lakini adhabu akapewa viongozi na wakaiacha timu iliyonufaika
Haya na haya ya huko kigoma dhidi ya pamba
 
FIFA inakataa hayo mambo nadhani kuna ujanja ujanja wanafanya
Inaruhusiwa ,unaijua RB Salzburg na RB Leipzig?

Zishakutana ana kwa ana mashindano ya ulaya

Ikabidi wamiliki wake waibadil Jina timu Moja kuwa Rasen ball sport Salzburg na sio Red bull Salzburg

Roman abromovich kama sikosei alikuwa na timu urusi na Uingereza Chelsea na ziliwahi kukutana michuano ya ulaya

Sheria ililegezwa
 
Mbao ni team isiyo na Nia thabit, kila msimu ujingaujinga Kuna metch tatu mlipoteza mfulizo zile ndo zingewapeleka ligikuu direct kabisaa nyie mkafanya ujinga.
MWANZA Yotee tiamajitiamaji.

Waacheni wanajeshi wakaipambanie KG.
Hao mbao hata kupanda kipindi kile walipanda kwa mbeleko baada ya kina geita gold kuonekana wamepanga matokeo wakashushwa daraja lkn wanapambana mpaka leo wapo ligi kuu.
 
Pamba ilikua ipande tangia mwaka jana mpira wa bongo ni fitna na uhuni mwingi,mji wa Mwanza auna watu wa aina iyo ndio maana Pamba wanapata tabu sana kupanda maranyingi wananyang'anywa tonge mdomoni.
Na siyo mwaka jana tu, ni almost tangia mwaka juzi au nyuma zaidi pale walipopangiwa kucheza play-off na Kagera Sugar iliyokuwa ishuke daraja. Haya mambo ya play-off yalinikera sana, na bado Kagera Sugar waliifanyia hujuma sana Pamba kule Bukoba.

Hivi Pamba ilishakosa mtetezi? MZFA wanafanya kazi gani hasa?
 
Na siyo mwaka jana tu, ni almost tangia mwaka juzi au nyuma zaidi pale walipopangiwa kucheza play-off na Kagera Sugar iliyokuwa ishuke daraja. Haya mambo ya play-off yalinikera sana, na bado Kagera Sugar waliifanyia hujuma sana Pamba kule Bukoba.

Hivi Pamba ilishakosa mtetezi? MZFA wanafanya kazi gani hasa?
Hili swali wakikujibu unitag. Chama cha soka Mwanza ni kama kiko likizo kikisubiri posho za vikao tu.
 
Pamba kwa miaka 3 mfululizo inabaniwa kupanda league kuu, hivi TFF na chama cha soka huko Mwanza hawaoni hii kitu??

Kwa statistics za match ya jana, huyo Refa kaihujumu Pamba wazi wazi, bodi ya league chunguzeni hili suala na maamuzi sahihi yafanyike. Huyo Refa achukuliwe hatua kali zaidi.
 
Sio haikubariki! Ni haikubaliki

Unatokea kanda ipi usieweza kutofautisha L na R
Aku kule kule ...[emoji16]
Hii haikubariki, hiyo mechi iangaliwe upya video zipo TV 3 na Takukuru wakamate wahuni wote walioshiriki huu upumbavu.
 
Back
Top Bottom