Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Imejaa tele, tafuta mtoto mzuri mpunguziane🤣😂 sina depression
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imejaa tele, tafuta mtoto mzuri mpunguziane🤣😂 sina depression
Mda mwingine unaweza Kuta marafiki wa kike wanatuma sms za ajabu 😂😂Ndio.
Wapo sana ila sitaki depressionImejaa tele, tafuta mtoto mzuri mpunguziane🤣
Mkuu Manyanza moyo wako ulete huku umkabidhi mshangazi , moyo wangu sikupi kumbe unapendwa na wengi eeh😀
Sina marafiki wa hivyo🤣🤣Mda mwingine unaweza Kuta marafiki wa kike wanatuma sms za ajabu 😂😂
Wakati wewe mwenyewe 🤣🤣Wapo sana ila sitaki depression
Kwanza huyo nishamtupia tofali kitambo sana hata anachokipost huwa sikioni akili zake ni mbovu na hajitambui.Mkuu Manyanza moyo wako ulete huku umkabidhi mshangazi , moyo wangu sikupi kumbe unapendwa na wengi eeh😀
Anaelezea hisia zake unamblock, unataka udanganywe eeh haya, pia moyo wako unaonekana una mambo mengi, hati chafu itakuhusu mkuu😀Kwanza huyo nishamtupia tofali kitambo sana hata anachokipost huwa sikioni akili zake ni mbovu na hajitambui.
Ninapanga uwe Auditor wa moyo wangu ujue 😁😁😁
Njoo nianze kazi usiku huu😀Utanipa moyo wako pale utakapokuwa umeshaufanyia auditing moyo wangu 🤗
Unataka documents gani ili uanze auditing? 😃😃😃Njoo nianze kazi usiku huu😀
Just a letter of engagement, ili nijue scope of work kabla sijaanza kuupekelekesha huo moyo😀Unataka documents gani ili uanze auditing? 😃😃😃
Raha gani sasa..Unaraha
Apology my Auditor, last night I was fast asleep. Okay anytime , nakuandikia 😃😃😃Just a letter of engagement, ili nijue scope of work kabla sijaanza kuupekelekesha huo moyo😀
Kivipi??Raha gani sasa..
Wakati sipo huru mwenzako
Sipo huru kufanya mambo yangu...Kivipi??
Siumwambie akusubirie ukue ndio akubaneSipo huru kufanya mambo yangu...
Mi kijana bado natamani vyakula tofauti tofauti...
Pombe
Mikeka
Pisi
Moshi
Vtu kibao nashindwa kufanya kwa sababu nipo engaged na mtu mzima....
Mambo ni meng mkuu
Labda ujui tuu ..Siumwambie akusubirie ukue ndio akubane