Je USA inaweza kuishi peke yake akitengwa na dunia nzima? Maana anachokifanya sasa ni wendawazimu

Je USA inaweza kuishi peke yake akitengwa na dunia nzima? Maana anachokifanya sasa ni wendawazimu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1. Amevamia Venezuela
2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration
3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu
4. Anawaza kuivamia Columbia
5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc
6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa na ya UN
7. Amefuta USAID na VOA
8. .....ongeza

Huyu ni kichaa! Kichaa , kichaa!
 
Unavosema hivi China amevifanya.

Unalijua shirika la misaada la China?
 
1. Amevamia Venezuela
2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration
3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu
4. Anawaza kuivamia Columbia
5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc
6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa na ya UN
7. Amefuta USAID na VOA
8. .....ongeza

Huyu ni kichaa! Kichaa , kichaa!
Ni nini cha muhimu sana watakosa wakijitenga?Maana kutengwa ni ngumu.
 
1. Amevamia Venezuela
2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration
3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu
4. Anawaza kuivamia Columbia
5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc
6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa na ya UN
7. Amefuta USAID na VOA
8. .....ongeza

Huyu ni kichaa! Kichaa , kichaa!
Trump ni kichaa kama Putin.

Anaishi kwenye Dunia ya 1930's ya mwenye nguvu mpishe ndani ya Karne ya 21.

Kiranga
 
1. Amevamia Venezuela
2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration
3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu
4. Anawaza kuivamia Columbia
5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc
6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa na ya UN
7. Amefuta USAID na VOA
8. .....ongeza

Huyu ni kichaa! Kichaa , kichaa!

Kama ni ukichaa, ukalinganisha ukichaa wa Trump na ukichaa wa Retired, Trump ataonekana ni malaika, na Retired ataonekana kichaa mwendawazimu!

Marekani, kamwe haiwezi kutengwa, kwa sababu pamoja na makosa madogo madogo ya hapa na pale, Marekani ni nchi pekee kubwa inayopenda haki, uhuru na demokrasia. Na mataifa maadui wa Marekani, yote ni yale ya kidikteta.
Unapoonekana ni kichaa mwendawazimu wa kiwango cha juu kupindukia, ni pale unaposhindwa kuuona ukichaa wa mtu anaua watu wake zaidi ya 10,000; halafu unaenda kuuona ukichaa wa kiongozi ambaye anathamini sana uhai na haki za watu wake? Uliwahi kusikia kuna kiongozi yeyote wa Marekani aliwahi kuwateka na kuwaua raia wake japo 100?
 
Cha ajabu,asipotumia njia ya kuwatia adabu/mabavu mnasema wamekwisha.
Marekani Kila mara ipo vitani na nchi nyingine yote hiyo sababu ya kujitanua na kueneza maslahi yake ya kibeberu.

Ni nchi inayojiendeleza kwa kuhujumu nchi nyingine kimabavu (kuanzia mashariki ya kati Iraq,Libya mpaka sasa Venezuela huku Greenland inawindwa)
 
Naona mtoa mada hauna background yoyote ya sera za marekani na kile inachoprotect dunia

Hivyo basi wewe ni wale matahiira wa kikomonisti

mtoa mada na wenzako wengine, mtalia weeee ila US atabaki baba lenu na trump ndio anaanza👇👇
20260103_202231.jpg
 
Marekani Kila mara ipo vitani na nchi nyingine yote hiyo sababu ya kujitanua na kueneza maslahi yake ya kibeberu.

Ni nchi inayojiendeleza kwa kuhujumu nchi nyingine kimabavu (kuanzia mashariki ya kati Iraq,Libya mpaka sasa Venezuela huku Greenland inawindwa)
Ndiyo tabia halisi ya beberu/capitalist.Hajali hasara yako zaidi ya kukuza faida yake kwa njia zozote ingawa si zote.
 
Back
Top Bottom