Je USA inaweza kuishi peke yake akitengwa na dunia nzima? Maana anachokifanya sasa ni wendawazimu

Je USA inaweza kuishi peke yake akitengwa na dunia nzima? Maana anachokifanya sasa ni wendawazimu

Kwamba wewe umeyaona hayo marekani wao hawayaoni eeeh we bongo lala kwmb trump na marekani hawajafanya tathimini hzo, huo usengerema uloandka hapo juu unadhan ni kweli marekan alikuwa na nia ya kupatanisha israel na wapalestina thubutuu, kwmb marekan alitaka maliza mgogoro wa rwanda na congo thubutuu.,hayo mashrika yaliyofutwa unadhan wamarekan wao hawajui walichokuwa wanakfanya..kchaa ww
 
Back
Top Bottom