Je USA inaweza kuishi peke yake akitengwa na dunia nzima? Maana anachokifanya sasa ni wendawazimu

Je USA inaweza kuishi peke yake akitengwa na dunia nzima? Maana anachokifanya sasa ni wendawazimu

Kama ni ukichaa, ukalinganisha ukichaa wa Trump na ukichaa wa Retired, Trump ataonekana ni malaika, na Retired ataonekana kichaa mwendawazimu!

Marekani, kamwe haiwezi kutengwa, kwa sababu pamoja na makosa madogo madogo ya hapa na pale, Marekani ni nchi pekee kubwa inayopenda haki, uhuru na demokrasia. Na mataifa maadui wa Marekani, yote ni yale ya kidikteta.
Unapoonekana ni kichaa mwendawazimu wa kiwango cha juu kupindukia, ni pale unaposhindwa kuuona ukichaa wa mtu anaua watu wake zaidi ya 10,000; halafu unaenda kuuona ukichaa wa kiongozi ambaye anathamini sana uhai na haki za watu wake? Uliwahi kusikia kuna kiongozi yeyote wa Marekani aliwahi kuwateka na kuwaua raia wake japo 100?
Sasa wewe unaleta personal atttack on me! Ngoja nijipe nafasi ya kukujibu! Au ni ki bloçk!
 
Hata tukijiunga dunia nzima halafu Marekani peke yake lazima tupokee kichapo kitakatifu.
 
Marekani Kila mara ipo vitani na nchi nyingine yote hiyo sababu ya kujitanua na kueneza maslahi yake ya kibeberu.

Ni nchi inayojiendeleza kwa kuhujumu nchi nyingine kimabavu (kuanzia mashariki ya kati Iraq,Libya mpaka sasa Venezuela huku Greenland inawindwa)

Hao Wamarekani ni dola ya kiislamu hao,ni wabaya sana na dola lao la kiislamu
 
USA ndo dunia. The world relies on the US more than the US relies on the world. US itasurvive vizuri tu ila vinchi vingi vitaangamia. USA akitaka chako kinaliwa omba usiwe mkono wa kushoto wa uncle Sam.
 
USA akitaka chako kinaliwa omba usiwe mkono wa kushoto wa uncle Sam.
It doesn't matter...

Hao Denmark wapo mkono wa kuume wa uncle Sam huko NATO lakini wanalazimishwa kuitoa Green land kwa uncle Sam.

Uncle Sam ni tishio kwa Sheria za kimataifa alizoziasisi yeye.
 
USA 🇺🇸

1767877123508.jpeg
 
It doesn't matter...

Hao Denmark wapo mkono wa kuume wa uncle Sam huko NATO lakini wanalazimishwa kuitoa Green land kwa uncle Sam.

Uncle Sam ni tishio kwa Sheria za kimataifa alizoziasisi yeye.

Uncle Sam akitaka chako kinaliwa hakuna namna. China na genge lake wanaishia kutoa matamko tu kama serikali ya Samuya.
 
1. Amevamia Venezuela
2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration
3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu
4. Anawaza kuivamia Columbia
5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc
6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa na ya UN
7. Amefuta USAID na VOA
8. .....ongeza

Huyu ni kichaa! Kichaa , kichaa!
ww unaweza mtenga bakheresa au MO?
 
Katika dunia iliyojaa wasaliti hilo haliwezekani. American pupets are every where, in every country! Any anti American move will be immediately reported and perpetrators neutralized.
 
Kwa nini uarabuni hasa madikiteta kama MBS wa Saudia wanamkubali sana Trump pamoja na kuwapa silaha Israel za kuua Wapalestina??
It's a matter of Business and deal .

Watu wanaangalia maslahi kwanza
 
1. Amevamia Venezuela
2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration
3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu
4. Anawaza kuivamia Columbia
5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc
6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa na ya UN
7. Amefuta USAID na VOA
8. .....ongeza

Huyu ni kichaa! Kichaa , kichaa!
Kwa kumrudisha Trump madarakani, Marekani imeuvaa mkenge. Trump is a 21st century Hitler!
 
1. Amevamia Venezuela
2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration
3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu
4. Anawaza kuivamia Columbia
5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc
6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa na ya UN
7. Amefuta USAID na VOA
8. .....ongeza

Huyu ni kichaa! Kichaa , kichaa!
Marekani ya Trump ni ya aina yake tu, siyo ya wamarekani wengi. Ni marekani ya ya kidikteta kama zilivyo serikali nyingi za kiafrika, ila yeye Ana nguvu za Kijeshi na kiuchumi. Angalia kabinet yake imejaa machawa tu, siku hizi takwimu zinazotolewa na serikali zinapikwa kiswahili Swahili tu; aliyekuwa anasimamia takwimu za halali alifukuzwa kwa vile takwimu hizo zilikuwa hazimfurahishi Trump. Kuna mpango wa kutegeneza sarafu yenye sura ya Trump Kinyume cha sheria, majengo mawili ya serikali yamelazimishwa kuwekwa jina la Trump Kinyume cha sheria, kuna meli ya kijeshi inapewa jina la Trump kinyume cha sheria, kuna Trump account kwa elimu ya watoto, Trump gold card ya uhamiaji, na Trump kila kitu …….
 
Marekani ya Trump ni ya aina yake tu, siyo ya wa marekani wengi. Ni marekani ya ya kidikteta kama zilivyo serikali nyingi za kiafrika, ila yeye Ana nguvu za Kijeshi na kiuchumi. Angalia kabinet yake imejaa machawa tu, siku hizi takwimu zinazotolewa na serikali zinapikwa kiswahili Swahili tu; aliyekuwa anasimamia takwimu za halali alifukuzwa kwa vile takwimu hizo zilikuwa hazinfurahishi Trump. Kuna mango wa kite genera saragu yenye aura ya Trump Ki time cha sheria, majengo mawili ya serikaliyamalazimishwa kuweka jina la Trump Kinyume cha sheria, kuna meli ya kijeshi inapewa jina la Trump kinyume cha sheria, kuna Trump account kwa elimu ya watoto, Trump gold card ya uhamiaji…….
Mimeona waziri wa ndani akihutunianjana ametaja jina la Trump kama wabunge wa Tulia walivyokuwa wakitaja jina la samia.
Ingelikuwa siyo strong institutions, USA ingelikuwa kama Tanzania kwa uchawa
 
1. Amevamia Venezuela
2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration
3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu
4. Anawaza kuivamia Columbia
5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc
6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa na ya UN
7. Amefuta USAID na VOA
8. .....ongeza

Huyu ni kichaa! Kichaa , kichaa!
Ona hili pussy as
 
Back
Top Bottom