Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Usiku una mambo mengi mno
Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu.
Kwangu mimi hizi kazi za usiku zimekua too much mpaka nasema hivi ni.lini takua na mpenzi ambaye anaelewa hizi harakati zangu.
Imagine unaweza tafutwa saa nane ya usiku ukaambiwa kinahitajiika kitu fulani. Wewe hapo utawasha PC na kuanza kufanya kazi.
Muda wote tuna kesha na maji vs energy.
Yaani kiufupi kulala inakua changamoto mno kazi zetu zinahitaji mda wote uwe active...
Bado ujapata assignment za watoto wa chuo hapo ndo utajuta ni mwendo wa kuchimba tuu daily...
Hakuna jmosi wala jpili... Kila siku ni kazi kazi.
Kwetu usingizi umekua adimu sana mpaka mwili umezoea sasa.
Je, ulishawahi kufanya kazi hizi za usiku mpaka ukawa upo bize na vitu vya ajabu ajabu kama mapenzi na umbamba mwingine?