Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Niliwahi kupiga sana kazi za usiku kipindi hicho tunaiba mafuta ya transformers (miaka hiyo yalikuwaga dili sana mjini)
Hivi ishu ya mafuta ya transfoma kutumika kwa chipsi ni kweli mkuu
 
View attachment 3190336
Usiku una mambo mengi mno
Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu.

Kwangu mimi hizi kazi za usiku zimekua too much mpaka nasema hivi ni.lini takua na mpenzi ambaye anaelewa hizi harakati zangu.

Imagine unaweza tafutwa saa nane ya usiku ukaambiwa kinahitajiika kitu fulani. Wewe hapo utawasha PC na kuanza kufanya kazi.

Muda wote tuna kesha na maji vs energy.

Yaani kiufupi kulala inakua changamoto mno kazi zetu zinahitaji mda wote uwe active...

Bado ujapata assignment za watoto wa chuo hapo ndo utajuta ni mwendo wa kuchimba tuu daily...

Hakuna jmosi wala jpili... Kila siku ni kazi kazi.
Kwetu usingizi umekua adimu sana mpaka mwili umezoea sasa.

Je, ulishawahi kufanya kazi hizi za usiku mpaka ukawa upo bize na vitu vya ajabu ajabu kama mapenzi na umbamba mwingine?

View attachment 3190333
Nimegee kadhaa nkusaidie kijana
 
Nimewahi kukesha mara 2 tangu nizaliwe moja nikiwa advance PCM nilitoboa mpaka asubuhi nikaona ni ngumu maana mchana wote nililala.
Pili nikiwa natoka dar kwenda Arusha na gari usiku siku zingine zote saa sita kama nimechelewa kulala
 
siku unapata demu wa kukuelewa na hizo energy drink zitakuwa zishafanya yake itakuwa double kutokuelewa.
 
Sawa sawa mkuu japo na balance..
Energy moja na chupa la maji moja hapo kikemia tunasema ratio ni water : energ ni 2:1
Hahaha sumu chupa moja ni chupa moja hata ukii dilute inabaki kuwa ujazo ule ule umeenda mwilini.
 
Back
Top Bottom