Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Kawaida sana
Mimi sifanyi mambo ya kuingiza pesa usku ila nakesha kila sku
Saa5 ad saa 10pm nko zangu nakula ndwee na pembeni nacheza call of duty mobile

Usku ndo mda wangu wa kua free
Unacheza gemu..

😁😁😁😁😁 Ila kuna watu hamjawahi kuwa seriously mjue
 
Usinywe energy kila siku ni hatari kwa afya yako. Mimi usiku ndiyo nakuwa more productive hasa kwenye programming natoboa mpaka asubuhi mara moja moja na play music.
 
Usinywe energy kila siku ni hatari kwa afya yako. Mimi usiku ndiyo nakuwa more productive hasa kwenye programming natoboa mpaka asubuhi mara moja moja na play music.
Yaan wewe hapo uwongo
Mziki tuu uweze kukesha seriously
 
Back
Top Bottom