MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Sikuwahi kuandika popote na Leo ndiyo nkakomenti hapa hasa kisa Cha Mimi kuwepo jela .Mkuu hii issue ushawahi andika hapa jf...
Daah najikuta natamani sana kujua hii kitu ilikuaje maana kuna story huwa zinatembea mtaani kuwa walinzi wanakuwaga na bunduki bosheni yuu hazina kitu an
Wapo ndugu na marafiki wengi hapa jamiiforums ninaojuana nao uso kwa uso ambao wanayajua madhira yaliyonikuta miaka kadhaa nyuma .
Siko tayari na Wala sitaweza kuandika kisa chore hapa kwa kuwaheshimu maboss wangu wa zamani Ila zaidi kuniheshimu taasisi yangu ya zamani na kiapo changu ,hivyo Kaka siwezi kuandika hapa .
Ila ni hayo niliyowahi kukutana nayo katika usiku wa manane na itoshe kusema usiku ule ulibadili maisha yangu mpaka leo na sijioni kuwa mpya tena zaidi najiona nishatumbukia katika uraibu nisioweza kuishi bila huo uraibu .
Kwaheri ,imetosha kwa leo ,Napambana najua maybe nitakuja kuwa sawa tena
Cc To yeye happy new year and merry Christmas .