Je, ushawahi kuhisi tukio kabla ya kutokea na likatokea? Tuelezane, kwako ilikuwaje?

Mbondijr

Senior Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
184
Reaction score
355
Wakati mwingine hisia sio za kupuuzwa. Kuna nyakati unaweza kuwa mahali fulani ukahisi jambo, lakini kwa kujifanya jeuri au kutosikia sauti ya ndani, unajikuta unayapitia yale yale ambayo ulionywa mapema.

Kwa kifupi, visa kama hivi vipo vingi sana kwenye maisha ya kila siku. Ngoja nikupe mfano wa moja lililonitokea zamani, halafu na wewe utatuambia lako lilivyokuwa.

Siku moja, kipindi kile cha nyuma, nilikuwa nimetoka kununua kasimu kangu ka Nokia. Enzi hizo vinatok bado vinaonekana kama ndilo dili la mjini yaani ukiwa nacho unatembea kifua mbele.

Ilipofika usiku, kama kawaida, ikabidi niende chooni. Sasa unajua vyoo vile vya kulenga… kabla sijaingia ndani, kuna kitu ndani yangu kikanionya:
“Acha simu nje, utakaacha huko.”

Lakini kwa nini nisikilize? Mimi nikajifanya jeuri. Aisee, ningejua…

Basi safari ikaendelea. Sijamaliza hata ‘kukata gogo’ vizuri, gafla bin vuu — pluup!
Nikashtuka! Nikahamaki!
“Aaaah! Tubwiliiii!”

Kasimu kangu ka Nokia tayari kazama chooni! Hapo ndio nikakumbuka ile hisia ya mwanzo… lakini too late.

D9 nitakuwepo
 
Au
Mimi huwa naona kitu kabla hakijatokea na siku ikifika nasema tayari yametimia..!!

Kuna sehemu sijawahi kufika toka nizaliwe ila siku nikifika najua kila kitu mpaka njia za mitaa na maduka bila kuambiwa.!!

Mimi nakumbuka kila kabla ya pepa ya hesabu nilikuwa nahisi nitafeli na ilikuwa lazima

Kuna mshangazi niliwahi kumuona kitaa, nikasema hapa sitoboi lazima nikampigie nyeto

Guys, hilo tukio la kumpigia nyeto likatokea kweli bhana 🙌
Hahaha ukapiga cha mkwezi
 
Siku tatu nyuma nlikua najiandaa kwema mala flan sikujua ilikuwaje ila nlijikuta simu zote nimeaziacha nyumbani sio kwa kusahau nliziacha. Bad enough nkajikuta nazunguka sana while Kuna easy route ikabidili nitulie kwanza nkajisemea Kuna kitu hakiko sawa ila nkaforce ten minutes later nkavamiwa na nyuki, sasa Mimi nyuki moja tu lazima nikate moto nlisongea kando naomba mahala nkakaa baada ya hapo sikujua kinachoendelea nlijikuta nko hospital nshakula sindano ya andrenaline na nyongeza kidogo ka kadripu ila tukio Zima ni kama nlikua nalijuia nlishindwa tu kulisafsiri
 
1.Kuna siku niko na mwana tunakula gambe saa 4 asubuhi tena siku ya kazi ghafla wakaingia ******* wawili wakatusalimia wakakaa kwenye viti nikawaza ni Askari halafu ikaishia hapo ndipo mmoja akaanza kujitambulisha wao ni Askari akatoa kitambulisho akanipa nikiangalie kisha akaanza kutuuliza maswali kwanini tunalewa mda wa kazi

2.Tarehe 30/10/2025 siku iliyoifuatia siku ya uchaguzi niliwakuta jamaa ninaowafahamu wakiwa wamekaa sehemu kando ya barabara wakiwaangalia polisi wanavyopita wakienda na kurudi huku wakipiga mabomu,pia walikuwa wanaongelea habari za kumdiss samia,katika wale jamaa ninaowajua alikwepo pia mtu ambaye sura yake ni ngeni nae akichangia mada nikamuhisi tofauti kimoyomoyo kuwa ni askari nikataka nimwambie inawezekana yeye ni Askari ila nikapotezea,mara wale Askari waliokuwa wanapita kwenye gari wakatupa kibomu karibu na tulipokuwa hakikulipuka kikawa tu kinafuka moshi watu wakanyanyuka kwenda kukifunika na mchanga hata yule msenge niliyekuwa namtilia mashaka nae alienda hapo ndipo jamaa mmoja akatustua akasema nyie jamaa mnaakaje na Askari wale jamaa wawili mliokuwa nao ni Askari japo mimi nilimuhisi mmoja
 
Siku tatu nyuma nlikua najiandaa kwema mala flan sikujua ilikuwaje ila nlijikuta simu zote nimeaziacha nyumbani sio kwa kusahau nliziacha. Bad enough nkajikuta nazunguka sana while Kuna easy route ikabidili nitulie kwanza nkajisemea Kuna kitu hakiko sawa ila nkaforce ten minutes later nkavamiwa na nyuki, sasa Mimi nyuki moja tu lazima nikate moto nlisongea kando naomba mahala nkakaa baada ya hapo sikujua kinachoendelea nlijikuta nko hospital nshakula sindano ya andrenaline na nyongeza kidogo ka kadripu ila tukio Zima ni kama nlikua nalijuia nlishindwa tu kulisafsiri
Inasikitisha sana mkuu
 
Au
Mimi huwa naona kitu kabla hakijatokea na siku ikifika nasema tayari yametimia..!!

Kuna sehemu sijawahi kufika toka nizaliwe ila siku nikifika najua kila kitu mpaka njia za mitaa na maduka bila kuambiwa.!!

Mimi nakumbuka kila kabla ya pepa ya hesabu nilikuwa nahisi nitafeli na ilikuwa lazima

Kuna mshangazi niliwahi kumuona kitaa, nikasema hapa sitoboi lazima nikampigie nyeto

Guys, hilo tukio la kumpigia nyeto likatokea kweli bhana 🙌
Hahaha ukapiga cha
Siku tatu nyuma nlikua najiandaa kwema mala flan sikujua ilikuwaje ila nlijikuta simu zote nimeaziacha nyumbani sio kwa kusahau nliziacha. Bad enough nkajikuta nazunguka sana while Kuna easy route ikabidili nitulie kwanza nkajisemea Kuna kitu hakiko sawa ila nkaforce ten minutes later nkavamiwa na nyuki, sasa Mimi nyuki moja tu lazima nikate moto nlisongea kando naomba mahala nkakaa baada ya hapo sikujua kinachoendelea nlijikuta nko hospital nshakula sindano ya andrenaline na nyongeza kidogo ka kadripu ila tukio Zima ni kama nlikua nalijuia nlishindwa tu kulisafsiri
Achana na so la hao jama walinipelekea Moto nikajitupa kwenye maji lakini tupu washukuriw watu walokuja na miale ya Moto ndo pona yangu
 
Au

Hahaha ukapiga cha

Achana na so la hao jama walinipelekea Moto nikajitupa kwenye maji lakini tupu washukuriw watu walokuja na miale ya Moto ndo pona yangu
Hatari sana Mimi hupata kitu kinaitwa anaphylaxis shock
 
Mimi huwa naona kitu kabla hakijatokea na siku ikifika nasema tayari yametimia..!!

Kuna sehemu sijawahi kufika toka nizaliwe ila siku nikifika najua kila kitu mpaka njia za mitaa na maduka bila kuambiwa.!!
Kwanza nimekumiss mamii...
Pili; hili nami huwa linanitokea sana. Upo powa lakini?
 
Uwa naona msiba kabda , na kufika eneo na kujua nalijua vzr wakati sijawai kwenda before.
Na nikinuia kitu kwa nguvu uwa kinatokea.
 
Kuna mshangazi niliwahi kumuona kitaa, nikasema hapa sitoboi lazima nikampigie nyeto

Guys, hilo tukio la kumpigia nyeto likatokea kweli bhana 🙌
Mpaka sasa bado haujaacha tu nyeto mkuu ?
 
Back
Top Bottom