Je, ushawahi kuhisi tukio kabla ya kutokea na likatokea? Tuelezane, kwako ilikuwaje?

Je, ushawahi kuhisi tukio kabla ya kutokea na likatokea? Tuelezane, kwako ilikuwaje?

Baby kweli tena 😹😹😹

Unajua kuna mtaa nilihamishwa kkoo kwa pesa ndefu kisa nauza sana..!!

Jirani yangu akaamua anivue kwa pesa ili nimuachie wateja wake. Maana nilikua nasepa na kijiji..!!
Haya darling, hongera kwa kuwa mbele ya mda😅😅.
 
Siku Moja kabla ya juzi usiku nipo zangu jamiiforum napitia thread Moja hivi " bundi kulia usiku inamaana gani ?? "

Baada kama ya siku mbili nikiwa nimelala,, ilipofika saa Tisa na dk 31 nasikia kama kitu kimetua juu ya bati katika nyumba niyokuwa nimelala ,, baada ya dk 2 nasikiamlio wa bundi .. nikajiseema Yale Yale niliosoma kwenye Ile thread ..

Basi bwana nikaamka nikachukuwa coprin ya maji kwenye droo sehemu ambayo Huwa ninaweka vifaa mpaka uwanjani ili niweze kuona vizuri juu ya bati ,, basi baada ya kuona location ya sehemu alipo bundi yule namrudhia Ile coprin ya maji yule bundi anaamua kukimbia

Wakati hayo yakiendelea Moja ya mpangaji ( jinsi ke ) ananiona na Mimi namuona kwa kupitia dirisha .. Asubuhi inafika ,, yule jirani ananiambia bundi huyu ni wiki Sasa amekuwa na tabia ya kuja hapo hapo ulipomfukuza leo na kuanzia kulia usiku,, nikamjibu kuwa Kuna sehemu nimesoma kuwa bundi akiwa Analia usiku katika mtaa Fulani wanadai si ishara nzuri lazima msiba utatokea tu katika mtaa huo hivyo nikama Huwa anatoa taarifa ..

JIrani akesema mmhh uongo huo bundi anamahusiano yapi na msiba ,, nikajibu kule nilikosoma wamesema bundi anauwezo wa kutabili mauti ya mtu au kunusa seli zinazokufa ktk mwili wa mtu anayeumwa hivyo yeye huweza kujua kuwa muda si mrefu mtu huyu atakufa ... Yule mpangaji akasema ya kweli hayaa ??

Nikamwambia bwana Mimi sijui ila kwa kifupi tu huyu ndege kulia Lia usiku kama vile Huwa analeta uchuro tuu basi tukaachana na Kila mtu akaendelea na mishe zake

Eehh !! Imefika saa sita mchana ,, tunaona watu wengi wanaelekea kwenye Moja ya nyumba ambayo haipo mbali sanaa na pale tunapoishi ikabidi na sisi tuunge ule msafara ili kujua Kuna Nini huko??....
Eehh !! tunafika pale tunakuta jamaa kajitundika ( kinyinyonga )

Kuuliza kulikoni
Wanasema jamaa baada ya kuona mkewe yapata siku tatu hajarudi nyumbani basi akawa kajifungia ndani Sasa majirani walipoona mbona huyu Leo Toka Asubuhi hajatoka wakaenda kumwambia Moja wa aliyekuwa rafiki yake ,,, alipofika pale na kujaribu kufungua mlango kwa nguvu ndiyo kumuona rafiki yake akiwa kajinyonga ndiyo kuwaambia majirani na majirani kuamua kumjulisha mwenyekiti na taratibu nyingine za kuwataarifu polisi na kumsitili zikaendelea

JIrani haishi kunitazama na kuniuliza maswali mengi ila nilichofanya nikumpa Ile thread na yeye apate kujisomea mwenye na kujiongezea maarifa ili nisije onekana mchawi buree kumbe walaa ...
Du rip huyo jamaa
 
Mimi huwa naona kitu kabla hakijatokea na siku ikifika nasema tayari yametimia..!!

Kuna sehemu sijawahi kufika toka nizaliwe ila siku nikifika najua kila kitu mpaka njia za mitaa na maduka bila kuambiwa.!!
Chai. Kuhusu kujua njia za mitaa sio issue. Maduka yanaonekana na kila mwenye macho yenye uwezo wa kuona.
 
Usinikumbushe mjukuu wangu nachanganyikiwa mwenzio nakua confused,
Inner Voice,the voice of Holly Spirit hua inaongea ndani yetu ila hua tunapuuzia
Back those days 5 years ago
nikiwa natoka geto alfajiri kuingia harakati Kariakoo kuna sauti ikaniambia acha simu nikaitii nikatoka kufika nje nikasemaa aa weee naachaje nikarudi kuibeba hukuwepo Malaika wako alikuwepo kufika Msimbazi wale vibaka wa asubuhi si akanivuta umenikanyaga ile kuduwaa ndio nimeibiwa hivyo daaa ka Tecno kangu nilikotumia kulog in JF kakaenda nilikaa yatima for Months na nilikua sina michongo ya kueleweka just imagine 5 month bila kulog in JF nilianza kua kama Kilaza wa Lumumba street!
😁😁
 
Hahahah hao jamaa hawanaga huruma aisee haijalishi kitu chako umekipambania vp mpaka kukipata ukiingia 18 zao wanakubopa
 
Hahahah hao jamaa hawanaga huruma aisee haijalishi kitu chako umekipambania vp mpaka kukipata ukiingia 18 zao wanakubopa
Hahahaha wale vibaka wale dadeq zao nilivyozoea kariakoo nikajifunza mbinu zao za kidwanzi tu baadae nilijilaumu kuibiwa na vilaza wale!
 
Uwa naona msiba kabda , na kufika eneo na kujua nalijua vzr wakati sijawai kwenda before.
Na nikinuia kitu kwa nguvu uwa kinatokea.
Nuia kaka,tumia sana nguvu huwezi kujua ukatusaidia.
 
Mimi inanitokea(karibuni si sana)
1)kuna siku nilienda kufanya kazi nje ya mji,kazi haikuisha na sikujiandaa kulala nje ya home,ajabu nilikua mzito sana kusafiri ila nikalazimisha.Safari ilikua na misukosuko mno+kufika late sana.
(2)Kuna ndugu yangu pombe ilikua inamuendesha sana tukashauriana apige chini,maisha yaliendelea tukijua mwana hapigi vyombo.Kuna siku nikaota kuwa yupo club na washkaji zake wawili na mmoja nikamtambua kabisa.,basi kumekucha nikampigia kumueleza hakupokea simu hadi mchana akanipigia na kukiri ndoto ya kweli na walilewa hadi wae jamaa zake ilibidi walale kwake.😂
NB: kila mtu hii hali anayo shida hatuzingatii refer matumizi ya neno "ninge"
 
Sure mkuu hiki kitu sio cha kupuuza!
 
Lete kitumbua chako tusindikizie chai, mgongo mpana km kibaraza cha bunge 😼
Nina uhakika sio tu kunifahamu, hata picha yangu haujawahi kuiona kwa bahati mbaya.

Naona kwasababu una mgongo mpana unahisi kila mwanaJF ana mgongo kama wako.
 
Nina uhakika sio tu kunifahamu, hata picha yangu haujawahi kuiona kwa bahati mbaya.

Naona kwasababu una mgongo mpana unahisi kila mwanaJF ana mgongo kama wako.
Pyeeeee 🤡
Sura kama jadu 😹
 
Back
Top Bottom