Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

wanawake wawili!! Kumbe uko vzr
 
wanawake wawili!! Kumbe uko vzr
Rudia kusoma tena Inna nimesema mtu anayejitambua hawez kuwa na wanawake wawili.
Afu kwa nn kila nikiona koment yako au like mapigo ya moyo yanaenda mbio.
Au ndio unakaribia kunitafuta pm nini?
Fanya hima uhakiki mbona unachukua muda mrefu hivo kama JPM?
 
Yaah nmekuelewa ndo mana nkasema uko vzr, kwamba unaona kuwa na wanawake wengi ni ujinga
 
Yaah nmekuelewa ndo mana nkasema uko vzr, kwamba unaona kuwa na wanawake wengi ni ujinga
Wapi anajipigia promo tu huyo.

Nina swali. Hivi mwanaume akimtaka mwanamke anatakiwa amwambie mwanamke amtafute au mwanaume mwenyewe anatakiwa aende jirani?
 
Wapi anajipigia promo tu huyo.

Nina swali. Hivi mwanaume akimtaka mwanamke anatakiwa amwambie mwanamke amtafute au mwanaume mwenyewe anatakiwa aende jirani?
Swali lako linamaanisha nini?
 
Wamasai wananifurahisha sana, ukiwa umesafiri na ukarudi ghafla, na ukakuta mkuki mlangoni kwako, we rudi katafute sehemu ulale, kisha rudi kumekucha, na hutakiwi kuuliza eti ulikuwa na nani, ingia ndani na endelea kutafuna mzigo.
Hii inaitwa myth.....hiki kitu hakipo kabisa, ukimwi, gono, kaswende, plus hisia za wivu wao hawana? Hii haina ukweli abadani. Penzi wivu kwa asili yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…