Ulikuwa mchezaji eti mchepuko wanguHata wewe??
Mpaka leo sijaacha kucheza. Leo uwahi kurudi nikuchezeeUlikuwa mchezaji eti mchepuko wangu
Mada haizungumzii avatar bana, mtu mwenye humjuii.... Hizi avatar ni watuUkwel Kwamba nimekufa nmeoza kwa huyo rihana mvaa kilemba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka leo sijaacha kucheza. Leo uwahi kurudi nikuchezee
[emoji3][emoji3] asanteePole dear
Nawazooom mimi
Mimi huyu wa kwangu ukimuuliza muonekano wake anajiamini sana, anasema mungu kampendelea hataki kumkufuru mungu,pia kumbuka Mimi nnaishi na rafiki yake nae huwa anamsifia sana muonekano wake,kwahiyo ndo maana nnacomfidence kidogo,Usinikumbushe aisee.. nilipendana na mmoja hivi. Siki yakuja kukutana nilijuta na nilijiona bonge la K. (Kima)
Hapo kama kawa unakufa na kuoza kwa taarifa tu picha utaitengeneza mwenyewe kichwaniIla dem nikimwambia aniambie yupoje,ananiaambia yeye ni mwembamba ila amenenepa kuanzia kiunoni kushuka chini,kumbuka yupo kijijin mtwara huko na huko hakuna smart phone ni mwendo wa vitochi tu, hapo kwenye kutanuka kuanzia kiunoni kushuka chini ndo huwa nadata.
Humu humu???Kuna mtu huku nimempenda ata simjui
Mwanangu kuwa makini kuna watu wanalia kama wamefiwaNgoja nikomae nae anaweza akawa wife,maana mi mwanamke nikimsababisha alie kwa ajili yangu huwa ananivutia sana,maana hawa wengine ni sijawahi kuona machozi yao hata wakisikia nimetobolewa macho,yaan ni wakavu tu.