Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Daaah aiseee, yaani huyu wa kwangu juzi kati alipata ajali akapoteza faham,sasa wakati anazinduka akawa anataja jina langu,sasa ndugu wakawa wanajiuliza huyu ni nani anatajwa bila kujua chochote,kumbuka hajawahi kuniona hadi naogopa
Mzee baba kama amekusimulia mwenyewe unapigwa changa hapoo...[emoji23]
 
Hayo yote anakusimulia rafiki aliyepigiwa simu na mama au anakusimulia huyo aloyekupenda..?[emoji16]
 
Nakwambia tena kuwa makini 😀😀😀😀😀😀
 
Ushaibiwa pumbavu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jamani siumalizie alikuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…