Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
si wewe mpenzi wanguNiambie hebuu...
Huyo unayemdondokea naniii etii handsome
Yani balaa sana me kuna mdada nilimuona nkiwa form 3 so nkampenda tukaendelea kuwasiliana japo sio sanaa lakini ikapita miaka kama 8 hivi nkasema ngoja nikaonane naee duuh yani mpaka nikashangaa nilimpendea nini yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]Nimekumbuka Mbalii.
Tulipendana na mkaka mwaka mzima kuongea usiku mpaka Kuna kucha...wakati Niko boarding 6 hapo ye alikua mkoa mwingine nimemaliza chuo nikabaki mjin kwa mamdogo Kama two weeks namsubir aje tuonane ndo alipata likzo yake na nilipo ndo mkoani kwao
Looh sitasahau nilivyomuona nilitaman kukimbia sema ndo hivo tu ubinaadam
I see, lakini hiki si kipindi cha technology?? Naskia ni rahisi kutumiana picha, basi hata kwa picha hujamuona?? Au mara unaweza tumiwa picha kumbe sie muhusika???Hapana sijaonana nae bado
Handsomesi wewe mpenzi wangu
ni wewe bana nikupendaye hakuna mwingine mama, wewe mwenyewe unalijua hilo.Handsome
Pale hujasema mimi jamani, niambie basi jamani
Unajua venye nakupenda mimi, ila wale mabinamu wotee wazuri ndugu zakooni wewe bana nikupendaye hakuna mwingine mama, wewe mwenyewe unalijua hilo.
SanteeeePoleeeee
my love huwa unaona wivu?Unajua venye nakupenda mimi, ila wale mabinamu wotee wazuri ndugu zakoo
Ndiwooomy love huwa unaona wivu?
jiamini me nakupenda wewe tu, wale ni binamu zangu, ndio maana siogopi kukwambia nakupenda mbele zao.Ndiwooo
Picha? Aaah hamna mtu anasend picha aliyotokea vibaya...I see, lakini hiki si kipindi cha technology?? Naskia ni rahisi kutumiana picha, basi hata kwa picha hujamuona?? Au mara unaweza tumiwa picha kumbe sie muhusika???
Kila la kheri murembo!Picha? Aaah hamna mtu anasend picha aliyotokea vibaya...
Kitu laivu..
Uzuri wake watu wanatofautiana wanachopenda.. ukipenda muonekano inakula kwako..
Wengine ni #sapiosexuals# Hao hawapati tabu in laivu situations
πππ AkhsanteKila la kheri murembo!
Bilashaka ni mimi..Kuna mtu huku nimempenda ata simjui
Mmmhhhjiamini me nakupenda wewe tu, wale ni binamu zangu, ndio maana siogopi kukwambia nakupenda mbele zao.
HahahahahahaSijawahi kwakweli, unawezaje yaani[emoji1745][emoji1745][emoji1745]